Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Table Ladder Chair
Muuliza swali ameuliza ni lini na wala siyo ni nini![emoji23][emoji23][emoji23]Table Ladder Chair.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Table Ladder Chair
Muuliza swali ameuliza ni lini na wala siyo ni nini![emoji23][emoji23][emoji23]Table Ladder Chair.
Muuliza swali ameuliza ni lini na wala siyo ni nini![emoji23][emoji23][emoji23]
Inamaana wameshajua mpaka mwezi wa 11 bado mkanda atakuwa nao Roman?Triple threat match incoming mwezi wa 11, the beast, roman na strowman. Wanagombania universal championship
Jana cobin baada ya kutangaza hiyo game akamwambia roman kua anaeza asiwepo kwenye triple threat kama akipigwa jana, na cobin akajiweka mwenyewe kama challenger. Ila kwa kua roman katetea jana, inaonekana hatakua na game nyingine ya championship mpaka hiyo nov huko riyadh saudi arabia kwenye triple threat ya beast, monster among men na big dog mwenyeweInamaana wameshajua mpaka mwezi wa 11 bado mkanda atakuwa nao Roman?
Na contract ya money in the bank ndio imeishafeli hivyo? Au kwa lugha nyingine strongoman ameshindwa ku cash in?Jana cobin baada ya kutangaza hiyo game akamwambia roman kua anaeza asiwepo kwenye triple threat kama akipigwa jana, na cobin akajiweka mwenyewe kama challenger. Ila kwa kua roman katetea jana, inaonekana hatakua na game nyingine ya championship mpaka hiyo nov huko riyadh saudi arabia kwenye triple threat ya beast, monster among men na big dog mwenyewe
Hapo hata mi bado sijaelewa vizuri muafaka wa huo mpunga wa benkiNa contract ya money in the bank ndio imeishafeli hivyo? Au kwa lugha nyingine strongoman ameshindwa ku cash in?
Mnooo!!sema Mimi sina supa sport naangalia kupitia MBC Action,MBC plus zile za waarabuDuh!...na wewe kumbe ni mpenzi wa hii kitu!!
Rafiki supersport ni very cheap,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi unakuwa unapata matukio yote ya mieleka kama vile Monday night raw,smackdown,summerslam,TLC,extreme rules,hell in the cell e.t.c live na pia wanarudia kila mechi wiki nzima!.....Mimi nilikuwa nimefunga king'amuzi cha Azam tv ila sasa hivi nimefunga pia supersport kwa ajili ya kuangalia mieleka tu!Mnooo!!sema Mimi sina supa sport naangalia kupitia MBC Action,MBC plus zile za waarabu
Ratiba ya Hayo matukio yote hufanyika siku ya jumatatu pekee!?Matukio makubwa kama vile Summerslam,Hell in the cell,extreme rules e.t.c mechi huwa zinaanza live saa saba na nusu usiku hadi asubuhi ila Monday night raw na smackdown huwa zinaanza saa tisa ya usiku hadi asubuhi live supersport 8!
Hapana,mara nyingi haya matukio makubwa kama vile TLC,extreme rules,summerslam,hell in the cell hufanyika jumapili!Ratiba ya Hayo matukio yote hufanyika siku ya jumatatu pekee!?
Mzee uko vizur umedadavua kama Mwalimu kashashaHapana,mara nyingi haya matukio makubwa kama vile TLC,extreme rules,summerslam,hell in the cell hufanyika jumapili!
[emoji2] [emoji2] [emoji23] kaka sikuwezi aiseehh!!ngoja nikihama hapa uswazi ntannua supa sport yaani kwa sasa nikifunga dish mbili ntaibiwa maana nnavoibiwa hapa acha tu!Rafiki supersport ni very cheap,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi unakuwa unapata matukio yote ya mieleka kama vile Monday night raw,smackdown,summerslam,TLC,extreme rules,hell in the cell e.t.c live na pia wanarudia kila mechi wiki nzima!.....Mimi nilikuwa nimefunga king'amuzi cha Azam tv ila sasa hivi nimefunga pia supersport kwa ajili ya kuangalia mieleka tu!
Ubaya wa MBC action huwa wanaonyesha mechi baada ya wiki moja sijui mbili tokea mechi ichezwe kitu kama hicho![emoji2] [emoji2] [emoji23] kaka sikuwezi aiseehh!!ngoja nikihama hapa uswazi ntannua supa sport yaani kwa sasa nikifunga dish mbili ntaibiwa maana nnavoibiwa hapa acha tu!
Leo mmeona after burn miz na truth sijui nani kashinda...nasubiri hell in a cell!!
Triple H na Undertaker the big match!!!!
Kumbee looh!! Basi nakula viporo wanguuu!!!Ubaya wa MBC action huwa wanaonyesha mechi baada ya wiki moja sijui mbili tokea mechi ichezwe kitu kama hicho!
Hata mi nashangaa aisee, wanapangwa na madogo wasioweza hata kufight backHivi kwa nini AOP huwa hawapigani na watu wa maana??....Huwa wanapigana na vijitu vidogo vidogo tu!
Anazingua sana huyu Corbin! Bora arudi tu yule Kurt Angle.Afu huyu acting manager cobin naona kama anawapendelea sana kina strowman, dew na ziggler. Anaonekana kabisa ana chuki ya wazi na the shield, na anatafuta kila njia mikanda yao ichukuliwe, sema jamaa wapambanaji
Yaani mm kila wiki Lazima niangalie mapambano ya hawa jamaaRafiki supersport ni very cheap,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi unakuwa unapata matukio yote ya mieleka kama vile Monday night raw,smackdown,summerslam,TLC,extreme rules,hell in the cell e.t.c live na pia wanarudia kila mechi wiki nzima!.....Mimi nilikuwa nimefunga king'amuzi cha Azam tv ila sasa hivi nimefunga pia supersport kwa ajili ya kuangalia mieleka tu!
Mkuu,Umesahau tu, baada ya summer slam ilifuata extreme rule,
Tukio lingine la extreme rule ni Jeffy hard pia alinyang'anywa mkanda na Nakamura siku hiyohiyo kama unakumbuka Nakamura alimpiga mapumbu mwanzo tu wa mchezo