Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
The superman punch![emoji123][emoji123][emoji123]View attachment The Superman Punch _right-facing_fist__left-facing_fist_ If you like you can follow @the_shiel...mp4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante.. Hii haitakua usiku mwingi kumbeKwa wale watakaopenda kuangalia Super down show itakuwa hewani live supersport 8 kesho jumamosi tarehe 06/10/2018 kuanzia saa tano na nusu asubuhi kwa saa za Tanzania!
Source😀STV tv guide
Haha... Soft copy kivip mkuuDuuh, watu mpo vizuri, hadi soft copy mnazitaman kimapenz.
Ni Asubuhi ya saa tano mkuu kwa saa za huku kwetu!Asante.. Hii haitakua usiku mwingi kumbe
Mkuu hii imefanyika mida mizuri kwa saa za huku kwetu kwa sababu inafanyika Australia,ingefanyika Marekani mida ya wanga ingekuwa palepale!Afadhali aisee...maana ile mida ya wanga ya summerslam,hell in a cell ni hatari..tena isitoshe ni jumatatu
Ila wanavyozunguka ni safi sana..kama walivyofanya kwenye Royal Rumble kule SaudiMkuu hii imefanyika mida mizuri kwa saa za huku kwetu kwa sababu inafanyika Australia,ingefanyika Marekani mida ya wanga ingekuwa palepale!
Sa c mnawaona kwenye TV tu, ndo soft copy zenyewe hizo, Ungewaona live kabisa hapo sawaHaha... Soft copy kivip mkuu
Na ya The Great Khali ile anambana mtu kichwa hadi damu zinavuja puani ndio anamuachiaSawa na ile spear kakopi ya Goldberg mnyama na ile ya Randy Orton vipi mana huwa naiona kama hatar hivi
Unamaanisha ile staili ya Great Khali ya kumbana mtu kichwa kwa mikono hadi avuje damu puani ndio amtupie huko ni kweli?Hapana,siyo fake ila jinsi ya kupigana mieleka kuna sheria, taratibu na kanuni zake tofauti na kupigana boxing au kick boxing kwa mfano ngumi haziruhusiwi,kuna jinsi ya kupiga mateke,kuna jinsi ya kumrukia mtu kutoka juu,kuna jinsi ya kumpiga mtu kipepsi e.t.c mapigo yote lazima yawe yale yasiyoua wala kusababisha ukilema hata zile spear za Roman reign haruhusiwi kupiga spear kwa kutumia kichwa!!
Hicho kichwa kinabaki kinaelea au!?Sawa kabisa ile ya Terker huwa nairudia mara nyingi sana na jibu huwa lile lile ya kuwa kichwa hakifiki chini
Ha ha ha huu mchezo ni fake na matokeo huwa yanapangwa ili kunogesha na kuongeza shauku kwa washabikiSasa Batista ndo nini amefanya hapoView attachment 878263
Marudio lini chief maana wengine tupo bize leoTayari nipo umbali wa inch moja kutoka kwenye TV yangu nasubiria saa tano na nusu ifike kwa ajili ya mtanange wa super show-down![emoji847][emoji847][emoji847]
View attachment 888225
Mkuu marudio ni leo leo supersport 9 kuanzia saa nne ya usiku hadi saa nane ya usiku na kesho(jumapili) saa tano kasoro robo asubuhi hadi saa tisa na robo jioni na jumatatu kuanzia saa moja na nusu jioni!Marudio lini chief maana wengine tupo bize leo