Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Loh! Very good . Nilikuwa natafuta na kusubiri ss9Monday night raw now on supersport 11!
Very fantastic.Monday night raw now on supersport 11!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Loh! Very good . Nilikuwa natafuta na kusubiri ss9
Ilipigwa October 06Game ya taker na triple h lini
Mi mwenyewe namshangaa eti alafu akishinda anashangiliaBobby lashley ni hopeless baunsa!!.... Kila siku kupigana na vitoto tuuuu na ubaunsa wake wote huo!!
[emoji23] [emoji23] Juzi nimeamka saa nane usuku nikakuta live super sport 8, nikacheka sana, mambo ya kukesha kusubiri live nani anataka .Tupo mzee wa marudio!!!....Kesho ni monday night raw kama kawaida wakati tunasubiria matukio makubwa ya mwisho wa mwaka kama vile Evolution, Crown Jewel, Survivor Series na TLC!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!..... ile kwenye matukio makubwa jitahidi kuamka mkuu![emoji23] [emoji23] Juzi nimeamka saa nane usuku nikakuta live super sport 8, nikacheka sana, mambo ya kukesha kusubiri live nani anataka .
Huko najitahidi, c unakumbuka Royal Rumble tulikuwa wote pamoja nukta hadi nukta, ila wrestlemania tu ndo unga ulizidi maji...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!..... ile kwenye matukio makubwa jitahidi kuamka mkuu!
It's confirmed, Ronda vs Nikki for the title at Evolution at the end of the month #wwetweets
Hakuna demu anaeweza kumpiga Rhonda sio becky linch wala charlote flair
Rhonda win,Bela hana uwezo labda apate sapoti ya pacha mwezake ndio atashinda
Yule demu Rhonda anapiga punch mpaka unaskia rahaFlair can push Ronda to her limits
Yule demu Rhonda anapiga punch mpaka unaskia raha
Takataka tu yule simkubali hata kidogo