Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kama Roman ameondoka hakuna tena wa kumtishia Brock Lesnar,ndoto yake ya kuchukua mikanda yote miwili ya WWE universal Championship na UFC huenda ikatimia!!
 
Roman reigns kamkimbia Lesnar kaacha mkanda.....Hiyo ni moja title za gazeti za udaku za marekani
 
Roman reigns kamkimbia Lesnar kaacha mkanda.....Hiyo ni moja title za gazeti za udaku za marekani
Ugonjwa na ushabiki vitu viwili tofauti...

Yule ndo Big Dawg bana wote wanamjua,haogopagi mtu yule jamaa
Pole yake tu Leukemia inamzingua na si ajabu asirudi tena...

Brown stro anasema "he'ill bit leukaemia's ass"

Tumwombee arudi tena yule jamaa,alikuwa Kipenzi ya kila mtu aisee..

Anaumaarufu kuliko hata Cena japo alipendwa kama The Rock...

Roman ataishinda kansa in God we trust
 
Universal title at Crown Jewel itakuwa ni kati ya Brown na Brock Lesnar hivyo jina la Roman lishaondolewa...
 
Alikuwa kipenzi chako sio kila mtu
 
Huyo atarudi hujaona Mzee wa yes movement Daniel Brian alikaa miaka miwili kwa ajili ya kuumia shingo na amerudi tena ulingoni
 
Huyo atarudi hujaona Mzee wa yes movement Daniel Brian alikaa miaka miwili kwa ajili ya kuumia shingo na amerudi tena ulingoni
Kurudi anaeza rudi ila sio kupona ile ni kansa ya damu kaka haiponagi hiyo..

Kansa haijawahi kuwa rafiki wa mwanadamu kabisa..
So elewa ile ni kansa tena ya damu..

Wanachokifanya ni kubadili damu tu ila sio kupona
 
Watakuwa wameiona mapema, ndo maana anaendelea kupambana nayo, we subiri utaona baada ya muda akirudi.
 
Ni shughuli aiseeee ila Roman hapo anaenda matibabu akirudi lazima apate chance ya kupigania mkanda wak
 
Kurudi anaeza rudi ila sio kupona ile ni kansa ya damu kaka haiponagi hiyo..

Kansa haijawahi kuwa rafiki wa mwanadamu kabisa..
So elewa ile ni kansa tena ya damu..

Wanachokifanya ni kubadili damu tu ila sio kupona
Kwaiyo anaenda kufa, isn't it?
 
Kwaiyo anaenda kufa, isn't it?
Yote yanaezekana mana huwa wanamuda hasa wagonjwa wa Leukemia na niliowashuhudia wengi huwa wanaishi wakijua wanakufa wakati gani, japo anamuda wa miaka 11 akiugua huo ugonjwa so huwezjua imefikia kiwango gani lakini most of them wanaishi si zaidi ya miaka 15 baada ya kuugua...

Ila naamini atafanya reiqunr tena na tutamuona katika kipindi kijacho...

Arudi kumtwanga jamaa ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…