Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Yap! Ni kweli Mkuu. Alitangaza mwenyewe. Ukumbi ulizizima wa huzuni.
Ndio scene inavyomtaka aseme na afanye ili kutengeneza movie zaidi la kesho. Wanataka watakapokuja kuwaambia Roman is Back!!!!!! Wote mioyo ilipuke na Picha lianze upya. WWE Wrestling never die!
 
Acha kuzingua,yule jamaa ni mgonjwa aisee na ukoo wao unahistoria ya kutoa wagonjwa wa kansa ya damu,kama hujui ni kuwa huyu Roman ni ndugu yake RIKISH na alikufa kwa kansa(alikuwa mcheza mieleka) ana undugu na the rock na pia baba yake alikuwa ni mcheza mieleka nae alikufa kwa kansa,lakini pia ana undugu na wale USOS nao mmoja wapo ana kansa so kama hujui kitu uliza au fuatilia sio unakuja na habar zako za maigizo ya ugonjwa wa Roman.
Jamaa wataigizaje ana kansa wakati umaarufu kaanza kuupata hivi karibuni,mbona anawaacha kina Lesnar ambao ni wakongwe na umaarufu wao,kina Cena, undertaker

Acha hizo
 
Hata marehemu Umaga alikuwa ndugu yake (ukoo) na yeye pia alikufa akiwa mcheza mieleka maarufu sana alikuwa na pigo lake la dole ngumba shingoni ilikuwa noma sana akikupiga lazima pumzi ikate
 
Kwa ambao hawajaangalia Evolution jana marudio ni leo supersport 9 kuanzia saa moja na nusu jioni ambapo pre show itaanza muda huo hadi saa mbili kamili na show yenyewe itaanza saa mbili kamili jioni hii hadi saa sita ya usiku
 
Acha kuzingua,yule jamaa ni mgonjwa aisee na ukoo wao unahistoria ya kutoa wagonjwa wa kansa ya damu,kama hujui ni kuwa huyu Roman ni ndugu yake RIKISH na alikufa kwa kansa(alikuwa mcheza mieleka) ana undugu na the rock na pia baba yake alikuwa ni mcheza mieleka nae alikufa kwa kansa,lakini pia ana undugu na wale USOS nao mmoja wapo ana kansa so kama hujui kitu uliza au fuatilia sio unakuja na habar zako za maigizo ya ugonjwa wa Roman.
Jamaa wataigizaje ana kansa wakati umaarufu kaanza kuupata hivi karibuni,mbona anawaacha kina Lesnar ambao ni wakongwe na umaarufu wao,kina Cena, undertaker

Acha hizo
Braza unaishi wapi? Hadi ukoo wao wote unaujua?
 
Mikanda ya raw tag team itakuwaje? Hasa baada ya tag team ya dean na rollin kuvunjika? Mbona sisikii mechi za tag team zikitangazwa?
 
Mnyama brock lesnar amerudi na aliichonifurahisha ni kumpiga f5 jamaa mwenye miguvu mingi ila akili hamna(braun strowman)..sioni mpinzani wa brock lesnar the beast mara mia wangempa mkanda wake kuliko kuchanga viingilio vya watu alaf wakaenda kushuhudia maiti
 
Back
Top Bottom