Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Undertaker ameshazeeka anatakiwa kustaafu sasa!bado yupo na mdogo wake Kane vs DX itakuwa bonge la mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Undertaker ameshazeeka anatakiwa kustaafu sasa!bado yupo na mdogo wake Kane vs DX itakuwa bonge la mechi
Siyo kama uongo. Mieleka ni maigizo kama maigizo mengine ya jukwaani. Ikitokea wameumia ni ajali tu kwenye scenehii miereka sometimes km uongo
Usikereke ndugu,Yale ni maigizo tu,ila wamefanikiwa manake lengo la kuvuta tension kwa watu limetimia ndio kama wewe walivyokuvutaAmbrose alinikera kinoma vile alivyomgeuka Seth Rollins
Ndio scene inavyomtaka aseme na afanye ili kutengeneza movie zaidi la kesho. Wanataka watakapokuja kuwaambia Roman is Back!!!!!! Wote mioyo ilipuke na Picha lianze upya. WWE Wrestling never die!Yap! Ni kweli Mkuu. Alitangaza mwenyewe. Ukumbi ulizizima wa huzuni.
Acha kuzingua,yule jamaa ni mgonjwa aisee na ukoo wao unahistoria ya kutoa wagonjwa wa kansa ya damu,kama hujui ni kuwa huyu Roman ni ndugu yake RIKISH na alikufa kwa kansa(alikuwa mcheza mieleka) ana undugu na the rock na pia baba yake alikuwa ni mcheza mieleka nae alikufa kwa kansa,lakini pia ana undugu na wale USOS nao mmoja wapo ana kansa so kama hujui kitu uliza au fuatilia sio unakuja na habar zako za maigizo ya ugonjwa wa Roman.Ndio scene inavyomtaka aseme na afanye ili kutengeneza movie zaidi la kesho. Wanataka watakapokuja kuwaambia Roman is Back!!!!!! Wote mioyo ilipuke na Picha lianze upya. WWE Wrestling never die!
Hata marehemu Umaga alikuwa ndugu yake (ukoo) na yeye pia alikufa akiwa mcheza mieleka maarufu sana alikuwa na pigo lake la dole ngumba shingoni ilikuwa noma sana akikupiga lazima pumzi ikateAcha kuzingua,yule jamaa ni mgonjwa aisee na ukoo wao unahistoria ya kutoa wagonjwa wa kansa ya damu,kama hujui ni kuwa huyu Roman ni ndugu yake RIKISH na alikufa kwa kansa(alikuwa mcheza mieleka) ana undugu na the rock na pia baba yake alikuwa ni mcheza mieleka nae alikufa kwa kansa,lakini pia ana undugu na wale USOS nao mmoja wapo ana kansa so kama hujui kitu uliza au fuatilia sio unakuja na habar zako za maigizo ya ugonjwa wa Roman.
Jamaa wataigizaje ana kansa wakati umaarufu kaanza kuupata hivi karibuni,mbona anawaacha kina Lesnar ambao ni wakongwe na umaarufu wao,kina Cena, undertaker
Acha hizo
Marudio ya Evolution ni lini mkuu Dstv??Ambao wameamka kwa ajili ya Evolution tujuane hapa!
Beck linch ni mgumu kama AJ stylesBecky akiwa na hasira anakua sex kinyama
Braza unaishi wapi? Hadi ukoo wao wote unaujua?Acha kuzingua,yule jamaa ni mgonjwa aisee na ukoo wao unahistoria ya kutoa wagonjwa wa kansa ya damu,kama hujui ni kuwa huyu Roman ni ndugu yake RIKISH na alikufa kwa kansa(alikuwa mcheza mieleka) ana undugu na the rock na pia baba yake alikuwa ni mcheza mieleka nae alikufa kwa kansa,lakini pia ana undugu na wale USOS nao mmoja wapo ana kansa so kama hujui kitu uliza au fuatilia sio unakuja na habar zako za maigizo ya ugonjwa wa Roman.
Jamaa wataigizaje ana kansa wakati umaarufu kaanza kuupata hivi karibuni,mbona anawaacha kina Lesnar ambao ni wakongwe na umaarufu wao,kina Cena, undertaker
Acha hizo
Hahahhahah duh kuna njemba wana details utafikiri anaishi naoBraza unaishi wapi? Hadi ukoo wao wote unaujua?
Si mchezo, watanzania ndo tulivyo , tunajua mengi ila yasiyo na faidaHahahhahah duh kuna njemba wana details utafikiri anaishi nao
Yenye faida ni yapi ndugu ambayo watu unahisi hawayajuiSi mchezo, watanzania ndo tulivyo , tunajua mengi ila yasiyo na faida