Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Yule ni fala tu, dogo finn balor mwenyewe ana uwezo wa kumpush to limit!......sisi tunataka achukue mkanda mtu ambae atasababisha tuone huo mkanda unawaniwa kwenye mechi za raw deile ila huyo fala ataenda kulala nao nyumbani kwake na mke wake!!
 
Muulize undertaker atakuelezea vzr kuhusu kipigo alichopokea kutoka kwa the beast maana yeye ndie aliyemtoa bikra..brock kwa sasa hana mpinzani wwe ata huyo roman hamwezi.
 
Muulize undertaker atakuelezea vzr kuhusu kipigo alichopokea kutoka kwa the beast maana yeye ndie aliyemtoa bikra..brock kwa sasa hana mpinzani wwe ata huyo roman hamwezi.
Ubovu wa Lesnar ni mmoja tu nao ni jamaa ni coward champion,yaani yeye akishachukua mkanda anaenda kulala nao nyumbani kwake na mke wake badala ya kuja raw kuja kuudefend deile ili tuone mapambano tumfurahie!!
 
Sure
 
Kwa sasa hana mpinzani kama nilivyosema hapo awali...ni mara mia akae kwake anywe gahawa kuliko kuja uwanjani na hamna wa kupambana nae.wamrudishe the rock labda atamweza
 
Kwa sasa hana mpinzani kama nilivyosema hapo awali...ni mara mia akae kwake anywe gahawa kuliko kuja uwanjani na hamna wa kupambana nae.wamrudishe the rock labda atamweza
Si kweli kwamba hana wapinzani,akijichanganya kwa dogo finn balor atatolewa jasho la damu huyo kubwa jinga!!
 
Kwa sasa hana mpinzani kama nilivyosema hapo awali...ni mara mia akae kwake anywe gahawa kuliko kuja uwanjani na hamna wa kupambana nae.wamrudishe the rock labda atamweza
finn barol anamdondosha sema tatizo la lesnar ni kukaa na mkanda ghteto na mke nao aje nao kila j3 apambane kama yeye ni bingwa anawaogopa watoto wadogo wasije wakampokea
 
finn barol anamdondosha sema tatizo la lesnar ni kukaa na mkanda ghteto na mke nao aje nao kila j3 apambane kama yeye ni bingwa anawaogopa watoto wadogo wasije wakampokea
Kuna madogo kibao pale wenye uwezo wa kumuumbua vibaya sana akina finn balor,Seth Rollins e.t.c!!.....yule akipigwa burn it down moja ya Seth rollins lazima aachie mkanda!!.....Hakuna finishing za kutisha pale wwe sasa hivi kama zile finishing za finn balor na Seth rollins, kama Brock Lesnar siyo coward champion awe anakuja kwenye raw apambane na hawa madogo tuone!!
 
bado hajakutana na CURB STOMP lazima ile sura iwe nyekundu na mdomo upinde
 
bado hajakutana na CURB STOMP lazima ile sura iwe nyekundu na mdomo upinde
Kubwa jinga anazikimbia hizi finishing mkuu!!....Mimi nina uhakika dogo Seth rollins au finn balor wana uwezo wa kumpiga yule kubwa jinga!
 
wadau wa WWE, naomba kujuzwa kinachoendelea Saudi Arabia, na sababu za Cena kuondolewa kwenye timu ya WWE superstars waliotia timu huko
 
Hii show ya crown Jewel itakuwa live kesho ijumaa kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa sita ya usiku supersport 11!
 
WWE Crown Jewel matches:

Triple H & Shawn Michaels vs. The Undertaker & Kane: Heavy involvement from Michaels helped Triple H dispatch Taker at Super Show-Down in Australia. After the match, when it looked like the four men had made up and were celebrating together in the ring after the bout, the Brothers of Destruction turned on the former DeGeneration X members by Tombstone Piledriving, chokeslamming and otherwise ruining them to end the show. On the Raw following what took place in Australia, Michaels' in-ring return after over eight years away was confirmed as the tag team match was set.

Universal Championship:- Brock Lesnar vs. Braun Strowman: After the stunning announcement by former universal champion Roman Reigns that he is battling leukemia, the decision was made later on that edition of Raw that the originally-scheduled triple threat bout will now be a 1-on-1 affair between Lesnar and Strowman for the vacant title.

WWE Championship-AJ Styles (c) vs. Samoa Joe: Styles retained his title over Joe at Super Show-Down, and Bryan became the No. 1 contender by defeating The Miz in 2:25 on the same show. That was until Bryan reportedly refused to attend Crown Jewel, pulling out of the show. WWE got his title match out of the way Tuesday night on SmackDown, clearing the way for Joe to attack both men and slide into the open match.

SmackDown Tag Team Championship- The Bar (c) vs. New Day:A Big Show heel turn on the SmackDown 1000 episode allowed Sheamus & Cesaro to capture the titles from New Day. The following week on SmackDown Live, the immediate rematch was announced for this Crown Jewel event.

WWE World Cup: The World Cup tournament will take place throughout the entire Crown Jewel event, with the bracket featuring a Raw side and SmackDown Live side. Below at the photo is a look at the bracket for Friday's tournament to determine the "best in the world."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…