Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Zawadi ya Daniel bryan ya kushinda mkanda wa raw kwenye smackdown ya jana ni kwenda kukutana uso kwa uso na lile dude(Brock Lesnar) jumapili kwenye survivor series![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Zawadi ya Daniel bryan ya kushinda mkanda wa raw kwenye smackdown ya jana ni kwenda kukutana uso kwa uso na lile dude(Brock Lesnar) jumapili kwenye survivor series![emoji41][emoji41][emoji41]
Sema Dan mbishi ila kakosea sana kuangukia kwa lile linguruwe
 
Sema Dan mbishi ila kakosea sana kuangukia kwa lile linguruwe
Ni vyema apambane na dude kipindi hiki kwa sababu AJ styles kila akikutana na dude ni kuchezea tu kichapo, ngoja tukione hiki chuma(Daniel) huenda kikamsumbua jamaa kidogo!!
 
Ni vyema apambane na dude kipindi hiki kwa sababu AJ styles kila akikutana na dude ni kuchezea tu kichapo, ngoja tukione hiki chuma(Daniel) huenda kikamsumbua jamaa kidogo!!
Ila kiajabu tu unaeza kuta Dan ananyanyua kwapa huku beast akiinuliwa chini na Paul
 
Ifike mahali huyu mnyama Brock Lesnar apewe heshima zake zote.huyo Braun Kila siku anapigana mechi,mnyama katulia nyumbani anacheki muvi ila karudi na kampiga si chini ya dakika10.bado kuna watu bado wanataka apigane Kila siku ataua watu uwanjani
Lile jamaa km lisingepigwa hakika lile pambano lingekuwa gumu sana. Brown nae mtata hlf lina nguvu
 
Ujue Raw pale hakuna dem wa kumsumbua Ronda,.. Wote laini laini. SmackDown wapo watu km Asuka, Becky, Charlote Flair... Hawa wanamsumbua Ronda vizuri tu
Bad news becky hawezi tena kupambana kwenye survivorseries imenikera sana alipata injury alivyovamia Raw
 
Bad news becky hawezi tena kupambana kwenye survivorseries imenikera sana alipata injury alivyovamia Raw
Yeah mkuu naangalia hapa.

Nimemind sana aisee

Hata Charlote Flair atafanya iyo kazi vizuri tu... Silipendi li Ronda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…