Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Aj styles chaliiiiiiiii... Safiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumapili Daniel byran atakuwa kwenye mikono isiyo salama ya the beast lakini!Nimefurahi jinsi Aj styles alivyopigwa na Daniel Bryan
curb stomp iyoDogo wa burn it down naamini ana uwezo wa kumpush Brock Lesnar to the limit mkuu tatizo Lesnar huwa anakwepa kuja raw kutangaza open challenges!! View attachment 934186
Umenena yaliyo ya ukweli mkuu.ronda kazoea kuwaonea kina alexa bliss huko smackdown hao uliowataja wote wanampiga vizuri sana.nimependa mno the man becky alivyoivamia na kuitawala monday night ray na kumpa kipigo cha mbwa koko badest bich on da planetUjue Raw pale hakuna dem wa kumsumbua Ronda,.. Wote laini laini. SmackDown wapo watu km Asuka, Becky, Charlote Flair... Hawa wanamsumbua Ronda vizuri tu
Vyovyote ila mkanda si anao.Jumapili Daniel byran atakuwa kwenye mikono isiyo salama ya the beast lakini!
Umenena yaliyo ya ukweli mkuu.ronda kazoea kuwaonea kina alexa bliss huko smackdown hao uliowataja wote wanampiga vizuri sana.nimependa mno the man becky alivyoivamia na kuitawala monday night ray na kumpa kipigo cha mbwa koko badest bich on da planet
Bad news becky hawezi tena kupambana kwenye survivorseries imenikera sana alipata injury alivyovamia Raw
Kwa huku kwetu Tanzania itakuwa live kuanzia saa tisa ya usiku siku ya jumapili. Supersport siku hizi wamekuwa wasaliti sijui kama wataonyesha live kwa sababu hadi saa hizi hawajaiweka kwenye ratiba zao za vipindi!!Hii ni muda ule ule wa MNR?
It's real,ila kuna watu watapingaMechi ya brock lesnar na denyo brayan huwezi kusema brock anaenda kupigana bali kwa heshima yake utasema brock anaenda kufanya mazoezi maana atampa kichapo waandaji pambano wajiandae kwenda kuitoa maiti ya denyo brayani.kwa mechi za kugombea mikanda raw watashinda maana denyo atapigwa na mnyama brock,nakamura atachezea kichapo kutoka kwa seth na sahv ana hasira balaa,badest bich on da planet na yeye atampiga queen flair,aop watawapiga the bar iz open for bizness....
Kama una mzigo weka chiefCharlotte atamchapa ronda
Mtu ambae angeweza kumpush Ronda to the limit alikuwa ni becky lynch mkuu!Charlotte atamchapa ronda
Daniel mbishi sana, usishangae akalivunja miguu lile dude, japo ushindi atalipa lakini naamini litaondoka linachechemea kwa maumivu ya miguu[emoji4] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Zawadi ya Daniel bryan ya kushinda mkanda wa raw kwenye smackdown ya jana ni kwenda kukutana uso kwa uso na lile dude(Brock Lesnar) jumapili kwenye survivor series![emoji41][emoji41][emoji41]
Kiukwli munkari wa hii match umepungua sana baada ya lychy kuzuiliwa kucheza.Bad news becky hawezi tena kupambana kwenye survivorseries imenikera sana alipata injury alivyovamia Raw