kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Daniel kajitahidi but bado hamna mbabe wa kumpiga Lesnar kwa sasaDude(Brock Lesnar) halijawahi kuchezea kichapo kama leo!!
Dude(Brock Lesnar) halijawahi kuchezea kichapo kama leo!!
Mbona wale wanawake wa raw na SmackDown hawajapigana?
Mkuu wamepigana raw ikashindaMbona wale wanawake wa raw na SmackDown hawajapigana?
Walipigana baada au kabla ya wanaume?Raw walishinda mapema
Walipigana baada au kabla ya wanaume?
Bas mm nimeanza kuangalia saaa kumi
Mkuu umeona lakni alichokifanya mzee wa YES? Paul Heyman almanusura alie nje ya ringi. Hakuamini lesner alivyobadilishiwa kibano[emoji23][emoji23][emoji23]
Asuka alishuka kiwango alipojiunga SD live, kiufupi SD live hawakumfanyia branding kama alivyokuwa Raw, yaani huku hapati promo lolote kama aambavyo raw walifanya kwa Ronda baada ya asuka kuondoka.Umri umemtupa mkono, ila bado yaliyomo yamo, isingaikua janja janja ya Becky wakati wanawania mkanda ule, Charlotte angekua bingwa wao....But when it comes to Ronda, ni habari nyingne yule mtu
labda ipo siku atachoka , Unajua hata Asaka alikuja hv hv, sijui alikumbwa na nini akapoa ghafla.. but so far.. Ronda ni habari nyingne
Mkuu taratibu, kuwa mtu mzima sio kuzeekaUwongo unasema Charlotte kazeeka kawa mtu mzima wakati charllotte kazaliwa 1986 wakati Rhonda 1987
Je ukubwa Charlotte upo wapi?
Mkuu taratibu, kuwa mtu mzima sio kuzeeka
Kama hamna mbabe wa kumpiga kwa sasa awe anakuja kwenye monday night raw awe anatangaza open challenges akutane na wale madogo akina finn balor na Seth rollins ili tuwe na ushahidi kwamba hakuna wa kumpiga kwa sasa!!Daniel kajitahidi but bado hamna mbabe wa kumpiga Lesnar kwa sasa
Watamchosha tu basi ila wa kumpiga yule jamaa kwa sasa hamna watakula suplex za hatariKama hamna mbabe wa kumpiga kwa sasa awe anakuja kwenye monday night raw awe anatangaza open challenges akutane na wale madogo akina finn balor na Seth rollins ili tuwe na ushahidi kwamba hakuna wa kumpiga kwa sasa!!
hata wale jamaa wa NXT, wamekiwasha sio kidogoKiukweli Brock na Ronda sio wreslers kabisa. Yaani ukitoa suplex na yule demu kila saa kukimbilia mkono hawana moves nyingine ya kunogesha pambano. Hiyo ndio shida ya kuwachukua MMA fighters and UFC kule zile ndio.moves pekee na kwa kule ndio zinafaa. Yaani ronda hawezi kupiga mtu igaongwa moja mbili tatu....yaani bila submission ya mkono she got nothing.
Nataka WRESLERS NOT FIGHTERS.
Ndio maana mechi ya seth na nakamura ilikuwa tamu kuliko zote.
Finn balor ni mtu mbaya sana mtu akienda nae one-to-one bila kuingiliwa!Finn balor alikuwa ndiyo mtu wa kwanza kabisa kuchukua huyo mkanda!!...Finn balor siyo mtu wa kuunderestimate kabisa pale raw!!Hii kusema tu kwa maneno kuwa Dude ana uwezo wa kumpiga kila mtu bila vitendo siyo sawa, inatakiwa ithibitishwe kwa vitendo!!Watamchosha tu basi ila wa kumpiga yule jamaa kwa sasa hamna watakula suplex za hatari