Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kiukweli Brock na Ronda sio wreslers kabisa. Yaani ukitoa suplex na yule demu kila saa kukimbilia mkono hawana moves nyingine ya kunogesha pambano. Hiyo ndio shida ya kuwachukua MMA fighters and UFC kule zile ndio.moves pekee na kwa kule ndio zinafaa. Yaani ronda hawezi kupiga mtu igaongwa moja mbili tatu....yaani bila submission ya mkono she got nothing.
Nataka WRESLERS NOT FIGHTERS.
Ndio maana mechi ya seth na nakamura ilikuwa tamu kuliko zote.
Mimi naamini siku Brock Lesnar akiingia kwenye mikono ya Seth rollins au finn balor hatoki salama yule!
 
Kiukweli Brock na Ronda sio wreslers kabisa. Yaani ukitoa suplex na yule demu kila saa kukimbilia mkono hawana moves nyingine ya kunogesha pambano. Hiyo ndio shida ya kuwachukua MMA fighters and UFC kule zile ndio.moves pekee na kwa kule ndio zinafaa. Yaani ronda hawezi kupiga mtu igaongwa moja mbili tatu....yaani bila submission ya mkono she got nothing.
Nataka WRESLERS NOT FIGHTERS.
Ndio maana mechi ya seth na nakamura ilikuwa tamu kuliko zote.
uko sahihi kabisa mkuu, yaani mechi zote za lesner huwa hazina utamu, same applies to Ronda, bora hata huyu Ronda ana mda mfupi kwenye wrestling, ila lesner ni mkongwe huku na anafanya madudu tu.
 
Hiyo ilikua planned ili kutengeneza enemity kati ya Ronda na Flair kisha watengeneze match yao ya next PPV's hususani Wrestlemania
Chief, Rhonda na Charlotte wanatoka roster mbili tofauti sidhani kama kutakuwa na mechi maalum kati yao, labda tutegemee J4 kwenye SD live ronda avamie smackdown amchezeshee kichapo Charlotte
 
Next PPV event ni TLC, itakuwa Dec 16 pambano ambalo lipo confirmed mpaka sasa ni IC championship kati ya Seth Rollins VS Dean Ambrose..
 
Nilikuwa napenda sana kundi lao;wanapopigana wenyewe kwa wenyewe mzuka wa kuangalia unakuwa haupo.
 
Chief, Rhonda na Charlotte wanatoka roster mbili tofauti sidhani kama kutakuwa na mechi maalum kati yao, labda tutegemee J4 kwenye SD live ronda avamie smackdown amchezeshee kichapo Charlotte
Kwakweli Charlotte aliniudhi sana, hata km ni kutengeneza bifu sio kwa kipigo kila.
Nachukia sana wapiganaji ambao hawako fair, mtu km unajiamini ya nn kuchukua fimbo na viti?
 
Mara nyingi matukio ya kuvamia brand moja huwa yanaonekana ikikaribia survivor series ili waipe promo, tofauti na hapo watakuja kukutana royal rumble
 
Yanaukweli haya?
739a55e5722573648341d3be7046a7e6.jpg
739a55e5722573648341d3be7046a7e6.jpg
 
Kwakweli Charlotte aliniudhi sana, hata km ni kutengeneza bifu sio kwa kipigo kila.
Nachukia sana wapiganaji ambao hawako fair, mtu km unajiamini ya nn kuchukua fimbo na viti?

That's why Cena,Roman, Kwanini watu wanawapenda kwakuwa wanapigana fair

Lakini Charlotte na Becky hawapigani kwa fair mpaka watumie zana nyingine
 
Back
Top Bottom