Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi naamini siku Brock Lesnar akiingia kwenye mikono ya Seth rollins au finn balor hatoki salama yule!Kiukweli Brock na Ronda sio wreslers kabisa. Yaani ukitoa suplex na yule demu kila saa kukimbilia mkono hawana moves nyingine ya kunogesha pambano. Hiyo ndio shida ya kuwachukua MMA fighters and UFC kule zile ndio.moves pekee na kwa kule ndio zinafaa. Yaani ronda hawezi kupiga mtu igaongwa moja mbili tatu....yaani bila submission ya mkono she got nothing.
Nataka WRESLERS NOT FIGHTERS.
Ndio maana mechi ya seth na nakamura ilikuwa tamu kuliko zote.