Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Jamaa hajui ule mchezo na ndio maana kipindi cha akina Stone cold na Goldberg hakuwa akifanya la maana coz walimjulia zake ni kukimbilia suplex na f5 hajui kupambana kabisa na hata ukiona mechi zake za HC huwa anahangaika tu
Lesnar hana mpinzani iwe kizazi cha sasa na hata kilichopita.
 
Sema tu unapenda masarakasi tutakuelewa
Chief! Punguza mahaba kwa lesnar.... mbona Roman, Strowman na Samoa Joe hawaruki sarakasi na Game zao unaangalia mpaka unaskia raha......

Tatizo la lesnar Mechi ikianza atapiga SUPLEX CITY hata 20 then anamalizia na F5's kama 8 hivi.. mpaka unajiuliza what the fuc.k is this
 
Lesnar hana mpinzani iwe kizazi cha sasa na hata kilichopita.
Kilichopita unazingua sasa unamaanisha aliwika kwa Rock, Stone cold, Goldberg, terker, Jericho,benoit,Guerero,kurt Angel,kane,sting,.........



Acha mahaba kijana kwanza umeanza kufuatilia lini mieleka hadi ukose adabu kwa malegend kiasi hicho
 
Kilichopita unazingua sasa unamaanisha aliwika kwa Rock, Stone cold, Goldberg, terker, Jericho,benoit,Guerero,kurt Angel,kane,sting,.........



Acha mahaba kijana kwanza umeanza kufuatilia lini mieleka hadi ukose adabu kwa malegend kiasi hicho
Nimependa majibu uliyompa. Lesna ni Dogo sana
 
Lesnar anajua Suplex na F5 tu.
 
Huyu Bery Cobirn anaharibu rawa hata haina maana tena maana kuangali mpumbavu tu
 
Mimi nimestaafu rasmi kuangalia mieleka mpaka Corbin avuliwe GM
Nimekuwa mfatiliaji wa mieleka tokea miaka ya 2002 mpk Leo lkn Corbin kanifanya nisiangalie tena mpk aondoke
 
Mshikaji anaboa sana, yaani MNR iliboa kishenzi juzi hadi nikaujutia usingizi wangu.
Bora yangu niliangalia marudio jana, tena alipoaribu zaidi ni kumfanya Alexa Bliss kuwa in charge wa Womens'division. Yule naye ndo kajaa majungu tupu, ona alichowafanya akina sasha.
 
Alexa bliss ndio atakuwa GM mpya soon. Baron atarudi kupigana tena mazima
 
Baron Corbin ana mechi na strowman kwenye TLC, kama Corbin akishinda atakuwa permanent RAW Manager...
Na kama Strowman akishinda atapata nafasi ya kupgana na Lesnar kwenye Royal Rumble....

Bila kusahau Corbin akipigwa na Braun itamfanya apoteze vyeo vyake vyote na kuwa wrestler wa kawaida tu..

So tutegemee bonge Moja la mechi siku hiyo...
 
Kuamini wwe wrestling ni kweli in sehemu ya ujinga pia. Mimi naupenda kwa sababu ni sehemu ya burudani kama burudani zingine tu Mf. Muvi za Hollywood tu. Mchezo gani sheria hazieleweki,Mara meneja ana timu yake na yeye anapigana,ukipigwa upande wake analazimisha ushindi uende kwao,wakifanya makosa waamuzi wakimaliza pambano meneja anafuta maamuzi ya mwamuzi. Kengine kanakojolea nguo za wenzake wenye nguo wanajifanya kusikitika had I wanapigwa. Yaani ni ufalafala tu tena ulio planned vema
 
Mkuu taratibu!

Hii inaitwa World Wrestling Entertainment.


Sijui povu lote hilo la nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…