Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,119
Yule jamaa anazidiwa hadi na Big show sio mchezaji yuleNa hicho ndio kinachofanya WWE wasimpe match kila weeka on RAW coz haburudishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa anazidiwa hadi na Big show sio mchezaji yuleNa hicho ndio kinachofanya WWE wasimpe match kila weeka on RAW coz haburudishi
Sema tu unapenda masarakasi tutakuelewaKiuhalisia lesnar sio Entertainer coz haiwezekani mechi inaanza anakimbilia suplex city mpaka anashinda
Lesnar hana mpinzani iwe kizazi cha sasa na hata kilichopita.Jamaa hajui ule mchezo na ndio maana kipindi cha akina Stone cold na Goldberg hakuwa akifanya la maana coz walimjulia zake ni kukimbilia suplex na f5 hajui kupambana kabisa na hata ukiona mechi zake za HC huwa anahangaika tu
Chief! Punguza mahaba kwa lesnar.... mbona Roman, Strowman na Samoa Joe hawaruki sarakasi na Game zao unaangalia mpaka unaskia raha......Sema tu unapenda masarakasi tutakuelewa
Kilichopita unazingua sasa unamaanisha aliwika kwa Rock, Stone cold, Goldberg, terker, Jericho,benoit,Guerero,kurt Angel,kane,sting,.........Lesnar hana mpinzani iwe kizazi cha sasa na hata kilichopita.
Nimependa majibu uliyompa. Lesna ni Dogo sanaKilichopita unazingua sasa unamaanisha aliwika kwa Rock, Stone cold, Goldberg, terker, Jericho,benoit,Guerero,kurt Angel,kane,sting,.........
Acha mahaba kijana kwanza umeanza kufuatilia lini mieleka hadi ukose adabu kwa malegend kiasi hicho
Lesnar anajua Suplex na F5 tu.Kiukweli Brock na Ronda sio wreslers kabisa. Yaani ukitoa suplex na yule demu kila saa kukimbilia mkono hawana moves nyingine ya kunogesha pambano. Hiyo ndio shida ya kuwachukua MMA fighters and UFC kule zile ndio.moves pekee na kwa kule ndio zinafaa. Yaani ronda hawezi kupiga mtu igaongwa moja mbili tatu....yaani bila submission ya mkono she got nothing.
Nataka WRESLERS NOT FIGHTERS.
Ndio maana mechi ya seth na nakamura ilikuwa tamu kuliko zote.
Hivi kwanini walimtoa Curt AngleMimi nimestaafu rasmi kuangalia mieleka mpaka Corbin avuliwe GM
Nimekuwa mfatiliaji wa mieleka tokea miaka ya 2002 mpk Leo lkn Corbin kanifanya nisiangalie tena mpk aondoke
Nilitaka kusema kitu kama hiki hiki, na ntashangaa sana kama Stephanie hatamfuta kazi huyu baada ya TLCHuyu Bery Cobirn anaharibu rawa hata haina maana tena maana kuangali mpumbavu tu
Mshikaji anaboa sana, yaani MNR iliboa kishenzi juzi hadi nikaujutia usingizi wangu.Nilitaka kusema kitu kama hiki hiki, na ntashangaa sana kama Stephanie hatamfuta kazi huyu baada ya TLC
Bora yangu niliangalia marudio jana, tena alipoaribu zaidi ni kumfanya Alexa Bliss kuwa in charge wa Womens'division. Yule naye ndo kajaa majungu tupu, ona alichowafanya akina sasha.Mshikaji anaboa sana, yaani MNR iliboa kishenzi juzi hadi nikaujutia usingizi wangu.
Akipewa huyo basi Sasha na rafiki yake watatamani Superstar shakeup ifike mapema waende SDLAlexa bliss ndio atakuwa GM mpya soon. Baron atarudi kupigana tena mazima
Kobin hata simpendi jamaa hajui kucheza fairlyThe monster Among men brown strownman amepata fracture kwenye mkono wake ila hope atalejea next monday kobin ajiandae to get these hands
Mi wananiudhi kweli na hilo kundi lao. Vurugu tu wanafanyaHuyu Bery Cobirn anaharibu rawa hata haina maana tena maana kuangali mpumbavu tu
Mkuu taratibu!Kuamini wwe wrestling ni kweli in sehemu ya ujinga pia. Mimi naupenda kwa sababu ni sehemu ya burudani kama burudani zingine tu Mf. Muvi za Hollywood tu. Mchezo gani sheria hazieleweki,Mara meneja ana timu yake na yeye anapigana,ukipigwa upande wake analazimisha ushindi uende kwao,wakifanya makosa waamuzi wakimaliza pambano meneja anafuta maamuzi ya mwamuzi. Kengine kanakojolea nguo za wenzake wenye nguo wanajifanya kusikitika had I wanapigwa. Yaani ni ufalafala tu tena ulio planned vema