advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 259
- 90
Zile ni script zishaandikwa. Mechi ya becky na ronday ilikuwa ushandikwa kwenye wreslemania. So ilikuwa lazima watafute njia ya kuwakutanisha maana wako mashindano tofauti. Mmoja raw mmoja smackdownJamani tuwe wakweli, hivi kweli Lana aliumia hata kabla hajaingia ulingoni au ilikuwa janja ili the man Becky apewe nafasi yake?
Aliumia Kwenye Match ya Rusev vs NakamuraJamani tuwe wakweli, hivi kweli Lana aliumia hata kabla hajaingia ulingoni au ilikuwa janja ili the man Becky apewe nafasi yake?
Seth atapigwa na yeye dah atleast ya Finnit is true!......it is damn true!
Ndoto yangu nyingine ya dude kupigwa huenda wakati huu ikaenda kutimia!
View attachment 1007588
Trump nae, alikuja huku kufanya niniView attachment The Battle of the Billionaires takes place at WrestleMania 23 ( 240 X 426 ).mp4Kwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....
Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...
Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....
Seth atapigwa na yeye dah atleast ya Finn
HahahahahaSitakata tamaa!
Nilijuja kuona marudio ndo nikaelewa, maana wakati naamka kujiandaa nilikuta hii match so nikashangaa mtu kaumiaje halafu anakuja ulingoni.
Zile ni script zishaandikwa. Mechi ya becky na ronday ilikuwa ushandikwa kwenye wreslemania. So ilikuwa lazima watafute njia ya kuwakutanisha maana wako mashindano tofauti. Mmoja raw mmoja smackdown
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutammic jamaa alikuwa Safi sana
Daniel Bryan siku hizi kawa mtu wa ovyo sana, hashindi bila kucheza rough.Boonge moja la match kwenye Elimination Chamber.......
Sitegemei kama Daniel Bryan ataendelea kuwa SD champion View attachment 1011081
Sent using Jamii Forums mobile app
intercontinental championship ni Bobby Lashley vs Finn balor!Bobby lashley ni kichapo cha mbwa koko!Boonge moja la match kwenye Elimination Chamber.......
Sitegemei kama Daniel Bryan ataendelea kuwa SD champion View attachment 1011081
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hiyo match bado namuona The Almighty akitetea mkanda wakeintercontinental championship ni Bobby Lashley vs Finn balor!Bobby lashley ni kichapo cha mbwa koko!
Yeye nae siku hizi ni lazima apate msaada wa kale katoto kake ndio ashinde
Kama ni NO DISQUALIFICATION sawa, Finn anaweza akashindaKumbuka hiyo mechi itakuwa ni hell in the cell ambapo kale kajamaa kake hakiwezi kuingia humo na the Almighty bila kale kajamaa kake hata mimi nampiga!