Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Jamani tuwe wakweli, hivi kweli Lana aliumia hata kabla hajaingia ulingoni au ilikuwa janja ili the man Becky apewe nafasi yake?
Zile ni script zishaandikwa. Mechi ya becky na ronday ilikuwa ushandikwa kwenye wreslemania. So ilikuwa lazima watafute njia ya kuwakutanisha maana wako mashindano tofauti. Mmoja raw mmoja smackdown

Sent using Jamii Forums mobile app
 
it is true!......it is damn true!

Ndoto yangu nyingine ya dude kupigwa huenda wakati huu ikaenda kutimia!
Screenshot_20190129-092555_1.jpeg
 
Kwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....

Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...

Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....
Trump nae, alikuja huku kufanya niniView attachment The Battle of the Billionaires takes place at WrestleMania 23 ( 240 X 426 ).mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom