Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kwahiyo unataka kusema kale ka jamaa refa huwa hakaoni.????

MGC
Kuwa nje ya ulingo sio kosa, ni kumpiga mpiganaji au kumgusa.


Wanachofanya ni kuhakikisha wakati unampiga/unafanya tukio refa haoni
 
Elimination Chamber ishakuwa mbaya Coz No Mustafa Ally on Chamber Match

what a lovely Day!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…