Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
The almighty ana ule mkanda hadi leo kwa sababu ya kale kakatuni kake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hiyo inaruhusiwa kusaidiwa?Yeye nae siku hizi ni lazima apate msaada wa kale katoto kake ndio ashinde
Kale kajamaa huwa kananifurahisha sanaKumbuka hiyo mechi itakuwa ni hell in the cell ambapo kale kajamaa kake hakiwezi kuingia humo na the Almighty bila kale kajamaa kake hata mimi nampiga!
Kumbe inaruhusiwa mpambe akusaidieThe almighty ana ule mkanda hadi leo kwa sababu ya kale kakatuni kake!
Kale kajamaa huwa kananifurahisha sana
MGC
Hairuhusiwi lkn anaeamua kama umesaidiwa ama la ni refa,Hivi hiyo inaruhusiwa kusaidiwa?
MGC
Kwahiyo unataka kusema kale ka jamaa refa huwa hakaoni.????Hairuhusiwi lkn anaeamua kama umesaidiwa ama la ni refa,
Kwahiyo fanya ufanyavyo lkn refa asione
Kuwa nje ya ulingo sio kosa, ni kumpiga mpiganaji au kumgusa.Kwahiyo unataka kusema kale ka jamaa refa huwa hakaoni.????
MGC
Amekuja kuwa fala tu, asepe tu hatutammiss kama kipindi kile alikua nje, msaliti konki huyo
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Boonge moja la match kwenye Elimination Chamber.......
Sitegemei kama Daniel Bryan ataendelea kuwa SD champion View attachment 1011081
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona triple H kasisitiza Daniel arawafersi superstar watanoDaniel atakuwa bingwa...ATASAIDIWA NA YULE BAUNSA WAKE ERIC
BECKY KAUMIA NAONA WAMEAMUA KUMTOA KWENYE MECHI KIAINA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuja kuwa fala tu, asepe tu hatutammiss kama kipindi kile alikua nje, msaliti konki huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zamu ya Randy Orton sasaElimination wakimpa mkanda KOFFI KINGSTON ITAKUWA POA. JUZI KAPIGA SHOW KALI SANA
Sent using Jamii Forums mobile app