Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mpaka sasa sijaelewa the motive behind Becky Lynch's suspension. Mzee McMahon anawaza nini hasa?
 
Yule baunsa wa Bryan ni noma aisee
Erick Rowan,
Mwanzo alikua ndani ya Wyatt family ya Bray Wyatt na Luke Harper, kabla ya kumuongeza Braun Strowman, naona familia ishakufa ile kila mmoja anapigana kivyake.
 
Hairuhusiwi lkn anaeamua kama umesaidiwa ama la ni refa,


Kwahiyo fanya ufanyavyo lkn refa asione
Sometimes Lashley anatumiaga ubabe kuwatisha marefa hata kama wameona faulo wanakausha tu, Heath Slater mpiganaji wa WWE ashakumbana na hiyo kitu akiwa Referee Mualikwa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…