Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji4][emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ilikuwa the greatest Royal Rumble ndani Jeddah S.A.,[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1024664
Siyo Wrestlemania bali ni elimination chamber,na mechi zitaanza leo saa tisa ya usiku kwa saa za hapa Tanzania live supersport 8!.....Wrestlemania itafanyika mwezi wa nne.
Asante kwa kunijuzaSiyo Wrestlemania bali ni elimination chamber,na mechi zitaanza leo saa tisa ya usiku kwa saa za hapa Tanzania live supersport 8!.....Wrestlemania itafanyika mwezi wa nne.
Becky Lynch aliznguaMpaka sasa sijaelewa the motive behind Becky Lynch's suspension. Mzee McMahon anawaza nini hasa?
Tusubir tu show atakayo pewa denialSasa hapo ndo mda mwingine huwa nahoji ile dhana inayosema eti wachezaji huwa wanapewa scripts za kuongea
Kwani katolewa na Mzee Vince mwenyewe au Stephanie?Mpaka sasa sijaelewa the motive behind Becky Lynch's suspension. Mzee McMahon anawaza nini hasa?
Erick Rowan,Yule baunsa wa Bryan ni noma aisee
Sometimes Lashley anatumiaga ubabe kuwatisha marefa hata kama wameona faulo wanakausha tu, Heath Slater mpiganaji wa WWE ashakumbana na hiyo kitu akiwa Referee Mualikwa.Hairuhusiwi lkn anaeamua kama umesaidiwa ama la ni refa,
Kwahiyo fanya ufanyavyo lkn refa asione
Vince McMahonKwani katolewa na Mzee Vince mwenyewe au Stephanie?
Mi niliona stephanie ndo alimsimamisha, mpaka wakadundanaVince McMahon