Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Suspension ya Steph ilikuwa na sharti moja kuwa iwapo becky angeenda kutibiwa na madaktari wa WWE, bas suspension ingeisha, kitu ambacho alifanya na ikawa lifted, japo alitakiwa kuomba radhi kwa kumpiga Steph na Triple H, kitu ambacho alifanya.

Thereafter ndo akaja mzee mwenyewe na kumpiga ban ya siku 60
Mi niliona stephanie ndo alimsimamisha, mpaka wakadundana
 
Nachoona ni kwamba championship ya wanawake inaenda kuwa tripple threat pale Wrestlemania... Ronda Rousey vs. Charlotte Flair vs. Becky Lynch
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…