Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wanyama wapya wa Raw kutoka NXT![emoji123][emoji123][emoji123]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyama wapya wa Raw kutoka NXT![emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 1026137
Kwenye raw ya leo wamewapiga sana wale wazembe wazembe wale kama akina Lio Rush,Bobby Leshley e.t.c!Aleister Balck is on [emoji91] [emoji91] [emoji91]
a tree is known by its fruit
Mi niliona stephanie ndo alimsimamisha, mpaka wakadundana
Wanyama wapya wa Raw kutoka NXT![emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 1026137
Namuoma reigns akirudi ulingoni mda sio mrefu
Mwamba alimstaafisha undertaker,good anarejea kapata nafuu maana leukimia ilimzingua kidogo
Jamaa anajua sanaaa,nachomkubali huyu njimbi anaroho ya paka,kuna yeye,Seth,na Finn hao watu ni wabishi kukubali kushindwa
Wajomb wanapiga kiniadje ni atarWanyama wapya wa Raw kutoka NXT![emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 1026137
Sting nae karudi!!Leo Wwe ilikuwa noma. Roman Rein atinga na kutoa msaada kwa Ambros. Ric Flair kaatakiwa na Batista. Sijui kama atapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Suspension ya Steph ilikuwa na sharti moja kuwa iwapo becky angeenda kutibiwa na madaktari wa WWE, bas suspension ingeisha, kitu ambacho alifanya na ikawa lifted, japo alitakiwa kuomba radhi kwa kumpiga Steph na Triple H, kitu ambacho alifanya.
Thereafter ndo akaja mzee mwenyewe na kumpiga ban ya siku 60
Wakipanga hivi itakuwa powaCombination ya Drew McIntyre,Bobby Lashley na Elias itawapelekea kupangiwa fight vs. The Shield na Braun Strowman siku za usoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Si dhani kama amekuja kupigana ila ilikuwa kwa ajili ya Sherehe ya Flair ambayo iliharibiwa na BatstaSting nae karudi!!