Utabiri wangu
Ronday atashinda
Daniel bryan atashinda
Rollin atashinda
Big dog atashinda
Demon atampiga bobby lashley maana hapigwagi akipakaga yale marangi yake usoni
Boss chick wataretain mikanda yao na shosti wake
Rockachiet na msela wake watashinda mikanda
Strowman atashinda royal battle
Strongoman Kashinda. Ajabu ya mzee Rjabu kumwita mtoto Rahajabu jina lilofanana na la kwake leo wake majamaa ambao wanashindwaga tu eti wameshinda tag team
nilishasema hapa mara nyingi sana kuwa mtu wa kumpiga dude ni Finn balor au Seth rollins mkawa mnanibishia, leo yametimia!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]