Huyu Seth katimiza kiu za wengiMy champ![emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 1065476
Umeona eeeh, mwenyewe nakumbuka sana walivyokuwa wanabisha hapa.nilishasema hapa mara nyingi sana kuwa mtu wa kumpiga dude ni Finn balor au Seth rollins mkawa mnanibishia, leo yametimia!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha dah kajamaa kamem time vzrDude amepigwa ndani ya dakika tano tu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi sana, nakapenda haka ka mkaka kwsbb huwa hakana rough kwenye kupigana.My champ![emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 1065476
Rafiki iam so happy walahyyyDude (lesnar)kapigwa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]