Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Mimi dude simpendi kabisa nimefurahi alivyopigwa curb stomp tatu!.....Siku ile Finn balor alikosea kidogo alitakiwa amrukia mara tatu au zaidi siyo kama vile alivyomrukia mara moja!!
Hivi yale kama makofi yake huwa anapigaje?Kwa sababu akimpiga mtu ni kama anaua!Reigns Roman ni moto wa kuotea mbali mno
Hivi yale kama makofi yake huwa anapigaje?Kwa sababu akimpiga mtu ni kama anaua!
Brock nadhani ni mdhaifu sana kwenye kichwa, ukimpiga vizuri anatapatapa kama nyoka aliepigwa kichwani, na finishing style ya Seth ni nzuri, ila kama angetumia Pedigree assingemuweza
Ile ni Ngumi-Kofi, anakupiga kwenye mshipa wa fahamu juu ya sikio, lazima upoteze network kwa muda, "superman punch"
Ht mm nimefurahi sana, jamaa alikuwaga anajiona hana mbabeMimi dude simpendi kabisa nimefurahi alivyopigwa curb stomp tatu!.....Siku ile Finn balor alikosea kidogo alitakiwa amrukia mara tatu au zaidi siyo kama vile alivyomrukia mara moja!!
Kuna superman punch na ile nyingine kama kofi hivi!
Yale ya kinyume nyumeHivi yale kama makofi yake huwa anapigaje?Kwa sababu akimpiga mtu ni kama anaua!
Pedigree ni ya uzushi ila pia angekosea akampiga curb stomp moja tu pia asingemweza!Bahati nzuri amekuwa mjanja akamgonga tatu!!
Hivi vifala vimepata mkanda basi ni kulia!View attachment 1065807
Thanks mkuu. Naona inaanza saa kumi na mbili kamiliKama kawaida marudio ni supersport 9 kuanzia saa kumi na moja leo jioni!
Kama kawaida marudio ni supersport 9 kuanzia saa kumi na moja leo jioni!
Iconic mimi huwa siwapendi tu!
Ile style yao ya kuingia tu dah..Iconic mimi huwa siwapendi tu!
Huwa wanadhihaki sana wenzao halafu hata uwezo wa kupigana hawana!Huo mkanda waliochukua wamebahatisha tu na hawawezi hata kukaa nao siku mbili,watanyang'anywa tu fasta!
Hahaa acha tuoneHuwa wanadhihaki sana wenzao halafu hata uwezo wa kupigana hawana!Huo mkanda waliochukua wamebahatisha tu na hawawezi hata kukaa nao siku mbili,watanyang'anywa tu fasta!
Mabaunsa haya ndiyo hatari!Yakihamua kupigana bila kuogopa kuvunja watu basi watu watakoma!Nia Jax alimvunja mbavu alexa bliss hadi leo alexa bliss hajawa cleared tena kupigana!