Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Mabaunsa haya ndiyo hatari!Yakihamua kupigana bila kuogopa kuvunja mtu basi watu watakoma!Nia Jax alimvunja mbavu alexa bliss hadi leo alexa bliss hajawa cleared tena kupigana!View attachment 1066298
Labda kama umemjua Seth mwakajana, akichezaga role ya 'Heel' anakuwaga mbaya sanaSafi sana, nakapenda haka ka mkaka kwsbb huwa hakana rough kwenye kupigana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo yote huwa ni 'scripted' so usiumize kichwaNahis kupigwa kwa Ronda na Lesner ni mipango ya WWE sitegemeei kuwaona tena kwenye Monday Night Raw mpka ikija Main event nyengne tena ikija
Hii mechi huwa naitamani sanahahaha, Brock mbabe kweli, na ndio maana WWE walikua wanakwepesha sana yeye kukutana na Brown strowmen sababu ni vurugu isingekua mechi
Namfatilia tangu kitambo sana, ni mona ya wapiganaji ambao wanapenda fair play. Hawatumii vitu km meza au kiti unless pambano liwe linataka hivyo.Labda kama umemjua Seth mwakajana, akichezaga role ya 'Heel' anakuwaga mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijizi vile kabisa havijui loloteHuwa wanadhihaki sana wenzao halafu hata uwezo wa kupigana hawana!Huo mkanda waliochukua wamebahatisha tu na hawawezi hata kukaa nao siku mbili,watanyang'anywa tu fasta!
Hawatadumu na hiyo mikanda, pambana la marudiano lazima mikanda iende.
Kweli kbs, sema tatizo la flair akiona anazidiwa huwa anakimbilia viti na meza.Ila Beck hamuwezi ronday hata afanyaje yule dada napigana kimafia ww one day watakutana tuu.. Hataa Charlotte flair hamuwezi ronday sema mechi mkisha kuwa zaidi ya 2 inakuwa kama viziana tuu sio kama Icons walivyo vizia tuu hawajui lolote.. Becky ana pambana sana ila sio kwa ronday asee uliona vile vi futi jana alivyo kuwa anawarukia[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wacheza mieleka wa sasahivi ni wachumba Tu, Ngoma wazee wa kazi wenyewe kina tatanka, Steve mc Michael, lex Ruger,British bulldog, yukozuna, repo man,Steiner brothers,macho man, etc , I miss those good daysKwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....
Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...
Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....
Bidada karudi..na mkwara mzito.kaanza na bayleyMabaunsa haya ndiyo hatari!Yakihamua kupigana bila kuogopa kuvunja watu basi watu watakoma!Nia Jax alimvunja mbavu alexa bliss hadi leo alexa bliss hajawa cleared tena kupigana!View attachment 1066298
Hao wacheza mieleka wa sasahivi ni wachumba Tu, Ngoma wazee wa kazi wenyewe kina tatanka, Steve mc Michael, lex Ruger,British bulldog, yukozuna, repo man,Steiner brothers,macho man, etc , I miss those good days
Bidada karudi..na mkwara mzito.kaanza na bayley
View attachment 1066663
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wachumba kwa minajili ipi?? Unawezaje kusema mtu kama Roman, Drew, Seth, Samoa,
Uwezo wa Bliss huwa unanipa Mashaka, namuonaga ni mjanja mjanja sanaa ulingoni.
Bidada karudi..na mkwara mzito.kaanza na bayley
View attachment 1066663
Sent using Jamii Forums mobile app
CP Punk alienda wapiHahaha, Alikua mjanja sana, Brock kumpiga ni Ujanja kwa hawa wrestler wetu wa sasahivi, ila katika Maisha yake hatamsahau CM Punk alimsumbua kwelikweli