George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ahahaaaah...Nahis kupigwa kwa Ronda na Lesner ni mipango ya WWE sitegemeei kuwaona tena kwenye Monday Night Raw mpka ikija Main event nyengne tena ikija
Bidada karudi..na mkwara mzito.kaanza na bayley
View attachment 1066663
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanapasuanaWakuu samahan, hivi nikionacho pale ulingoni huwa ni kweli au janjajanja tu.?
Maana kwa hizo ngumi na kutupwa chini sijui kweli mtu anaweza kuamka asee.
Napenda sana mieleka kwa sababu huwa ni mbadala wa movie za kivita na ubabe ninazozipenda.
Niwekeni sawa hapa
Zote ziko scripted, yaani wanazijua wakati wanapiga wamekuwa wameshajaribu hizo moves zote na nini cha kufanyaWakuu samahan, hivi nikionacho pale ulingoni huwa ni kweli au janjajanja tu.?
Maana kwa hizo ngumi na kutupwa chini sijui kweli mtu anaweza kuamka asee.
Napenda sana mieleka kwa sababu huwa ni mbadala wa movie za kivita na ubabe ninazozipenda.
Niwekeni sawa hapa
Kweli aisee Behaviourist Fanya mpango wa kuunda group la whatsapp ama no Veep wadaufanyeni mpango tuunde group la tsup ili iwe rahisi kutuma video na picha za matukio
Mzee hawa watu hamna kituMabaunsa haya ndiyo hatari!Yakihamua kupigana bila kuogopa kuvunja watu basi watu watakoma!Nia Jax alimvunja mbavu alexa bliss hadi leo alexa bliss hajawa cleared tena kupigana!View attachment 1066298
Uwezo wao ni mdogo ukilinganisha na hao jamaa, kina giant, hitman, hulk Hogan etcNi wachumba kwa minajili ipi?? Unawezaje kusema mtu kama Roman, Drew, Seth, Samoa,
Uwezo wa Bliss huwa unanipa Mashaka, namuonaga ni mjanja mjanja sanaa ulingoni.
Wakuu samahan, hivi nikionacho pale ulingoni huwa ni kweli au janjajanja tu.?
Maana kwa hizo ngumi na kutupwa chini sijui kweli mtu anaweza kuamka asee.
Napenda sana mieleka kwa sababu huwa ni mbadala wa movie za kivita na ubabe ninazozipenda.
Niwekeni sawa hapa
Asante sana asee.Ni kweli mkuu..zile ngumu ukipigwa we moja unaanguka hunyanyuki..wale nahisi wamekomaa ni manunda halafu huwa wanapimwa Afya zao kabla hawajaingia kwenye ile michezo,kama una ugonjwa wa moyo,upungufu wa damu,phobia nk huwezi kubaliwa.
Pia Yale maigizo jukwaani na Yale majibozano yanakuqa scripted, kila mchezaji ana script writer wake pale,so anapanga siku hiyo akiingia atafanya nini,ataongea nini.yote ni kuchangamsha umma na kuibua tukio jipya litalowapa hadhira hamu ya kujua kitachojiri.
Wanabamizana kweli, bila mazingira ulingoni si kama sakafuni,pale ulingoni si unaona kama board ambalo hata mtu akirushwa linanesanesa,chini kuna kava za kama masponji.bila ukimtupa mtu vile kwenye sakafu anapasuka moja kwa moja.so kunesa kwa like board LA jukwaa kuna punguza impact.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali Randy Orton amekuja raw,sasa hivi atanyooshwa!View attachment 1072686View attachment 1072687