Ni kweli mkuu..zile ngumu ukipigwa we moja unaanguka hunyanyuki..wale nahisi wamekomaa ni manunda halafu huwa wanapimwa Afya zao kabla hawajaingia kwenye ile michezo,kama una ugonjwa wa moyo,upungufu wa damu,phobia nk huwezi kubaliwa.
Pia Yale maigizo jukwaani na Yale majibozano yanakuqa scripted, kila mchezaji ana script writer wake pale,so anapanga siku hiyo akiingia atafanya nini,ataongea nini.yote ni kuchangamsha umma na kuibua tukio jipya litalowapa hadhira hamu ya kujua kitachojiri.
Wanabamizana kweli, bila mazingira ulingoni si kama sakafuni,pale ulingoni si unaona kama board ambalo hata mtu akirushwa linanesanesa,chini kuna kava za kama masponji.bila ukimtupa mtu vile kwenye sakafu anapasuka moja kwa moja.so kunesa kwa like board LA jukwaa kuna punguza impact.
Sent using
Jamii Forums mobile app