Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Lesnar ni jinga flani hivi, Mashabiki wengi wa wwe wameshamchoka. We mtu ana mkanda lakini anainekana kwa mwezi mara moja. Wakati wenzie wa kishika huo mkanda kila show wanatokea na mnapata burdani murua kabisa.
 
Safi saana aisee

Nilishangaa sana Rey Mysterio alivyomkunja Samoa Joe

Roman Reign pia alifurahisha sana .

Nasubiria mapambano ya 7 June.
 
Roman alikua anabebwa sana ila uwezo mdogo kina Vince wameamua kumtema ndio maana sahv yupo kwenye size yake ni elayas
 
Hivi itatokea siku nimpende Lesner???
Lesnar hana sababu ya kudekadeka ili ww umpende yeye anachojua ni kutoa kichapo tu.na ndio maana tupo mashabiki wake tunaomkubali kuliko MTU yoyote wwe.huyu faza anaga cha msalia mtume anatoa dozi mpka unafurahi.na Seth na Kofi wajiandae
 
Lesnar ni jinga flani hivi, Mashabiki wengi wa wwe wameshamchoka. We mtu ana mkanda lakini anainekana kwa mwezi mara moja. Wakati wenzie wa kishika huo mkanda kila show wanatokea na mnapata burdani murua kabisa.
Hakuna wa kumpiga lesnar pale.alikua anakaa miezi mitatu haonekani wakina roman reigns,Braun strawman,Sam Joe inapigana kila wiki yeye yupo jiji LA network na majiji mengine anapiga gahawa lakini akija uwanjani aalikua anawakalisha
 
Brown na samoe hajawahi kupigana nao.
Pambana lake na brown liliharibiwa na yule meneja
 
Lesnar hana sababu ya kudekadeka ili ww umpende yeye anachojua ni kutoa kichapo tu.na ndio maana tupo mashabiki wake tunaomkubali kuliko MTU yoyote wwe.huyu faza anaga cha msalia mtume anatoa dozi mpka unafurahi.na Seth na Kofi wajiandae
Kwa Koffi hawezi kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…