Phb_himself
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 222
- 187
Jamaa anaboa sana
Huyo ni fala tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni fala tu
CorbinBaron kamreplace Aj style kwenye super showdownView attachment 1110958
Corbin
Doh mbona huyo anatabirika tu kwamba atapigwa mapema sanaYaeh Aj kapata injury
Atajitahid ila me huwa simkubali kabisaDoh mbona huyo anatabirika tu kwamba atapigwa mapema sana
Hata na mimi pia sijawahi kumuelewaAtajitahid ila me huwa simkubali kabisa
Tatizo foul nyingi sana huyo jamaa. Yaan hanaga ile fair play.Atajitahid ila me huwa simkubali kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16]Àndaa sanda za kumzika Seth rolings.alishinda kwa ujanja ujanja dhidi ya the beast buroooooook lesnaaaaaaaa.
J3 false count anywhere brown alipigwa na Sami zayn kwa msaada ya D McIntyre nilikuwa najua ilimuondoa hope brown atashinda tena mara ya pili
Ule ni Ujinga tuu.. maana imekuwa kama tunaangalia muvi
Unamuwekaje nje Jon cena? MTU mwenye wwe heavy weight za kutoshaMimi kwa sasa namkubali jamaa mmoja anaitwa Baron Corbin na KO yake End of Days ni kali mno.
Top10 yangu ya wrestlers wa muda wote toka dunia ianze na hawatakuja kutokea tena hadi mwisho wa WWE (pia hii top10 haina upinzani kwa anaejua mieleka toka WWF)
1.Gold Berg
1.Curt Angle"The Olympian"
3.The Rock"P'ple champ"
4.Steve Austin 316"Stone cold"
5.Chris Benoit
6.Brock Lesnar"The beast"
7.Shawn Michael "HBK"
8.Triple H "The Game/The Cerebral Assassin"
9.Randy Orton"Legend killer"
10.Eddie Guerrero
Note; John Cena na Undertaker hawa ni waigizaji bora wa muda wote WWE nawaheshimu sana, ila waliharibu sana uhalisia na maana ya mieleka japo aliiboost sana kibiashara