Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

The phenomenal
455019845_416617.jpeg
 
Mimi kwa sasa namkubali jamaa mmoja anaitwa Baron Corbin na KO yake End of Days ni kali mno.

Top10 yangu ya wrestlers wa muda wote toka dunia ianze na hawatakuja kutokea tena hadi mwisho wa WWE (pia hii top10 haina upinzani kwa anaejua mieleka toka WWF)

1.Gold Berg
1.Curt Angle"The Olympian"
3.The Rock"P'ple champ"
4.Steve Austin 316"Stone cold"
5.Chris Benoit
6.Brock Lesnar"The beast"
7.Shawn Michael "HBK"
8.Triple H "The Game/The Cerebral Assassin"
9.Randy Orton"Legend killer"
10.Eddie Guerrero

Note; John Cena na Undertaker hawa ni waigizaji bora wa muda wote WWE nawaheshimu sana, ila waliharibu sana uhalisia na maana ya mieleka japo aliiboost sana kibiashara
 
Unamuwekaje nje Jon cena? MTU mwenye wwe heavy weight za kutosha
 
Back
Top Bottom