NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Wanaoumia wapo na wanaouawa wapo pia. Rey Mysterio aliua mwenzake mwaka juzi. Miaka ya nyuma kidogo broak Lesnar alua mtu kwa kitiMbona huwa wanatoka damu na wkt mwingine mtu anaonekana kalegea kbs kwa kipigo.
Mf vile wanavyopigana na viti, fimbo.
Mbona huwa wanatoka damu na wkt mwingine mtu anaonekana kalegea kbs kwa kipigo.
Mf vile wanavyopigana na viti, fimbo.
Ila one fact ni kwamba hatumii ngumi as ngumi, kipande cha mkono kilichoko kati ya kiganja (arm) na kiwiko (elbow), hiyo ndo anayoparazia kijuu juu tu.Huu mchezo ni uigizaji tu mkuu.Tupo pamoja katika hili.
Super man punch ile ukipigwa ya kweli meno na damu vyote vinadondoka chini
Hata 619 ya Ray Mysterio unaona kabisa mtu anaenda kujiegesha kwenye kamba.Mmmh! huu mchezo huu!!
Mbona Mr. MITB kama kaweka kichwa vizur kwa ajili ya kuwa burn it down?!
HakuaminCURB STOMP ilipokutana na RKO ya muhuni Randy OrtonView attachment 1124804
Wadau napenda kujua, hivi mieleka inaingia kwenye kundi gani kati ya sports na Entertainment?
Entertaiment kama MUZIKI TUWadau napenda kujua, hivi mieleka inaingia kwenye kundi gani kati ya sports na Entertainment?
Hapa ndipo ninapowashangaa wabongo wewe umeshajua ni maigizo na hupendi maigizo lkn bado unaangalia huku unalalamika kama umelazimishwa si ufanye ish nyingine, uendelee na maisha yako bila wwe au uangalie mpira ndio real maisha yasonge?Hii ndio sabab pekee ikanifanya niamn huu mchezo n scriptd. Ata ukiangalia style ya pal herman alivyotupa ile bag n scriptd pia. Tunajua n maigzo, ila atlist wafanye maigzo km ya kpnd cha nyuma, ilikuwa ngum kuwashtukia. Lakn sku hz n upuuuz tu..
Ata ile super men punch ukiiangalia kwa makin haimfikii kbsa opponent. Ila atakavyo jiangusha sasaa, yan fully undez tu
Hapa ndipo ninapowashangaa wabongo wewe umeshajua ni maigizo na hupendi maigizo lkn bado unaangalia huku unalalamika kama umelazimishwa si ufanye ish nyingine, uendelee na maisha yako bila wwe au uangalie mpira ndio real maisha yasonge?
Kifupi huu ni ufupi wa mawazo, wivu na kijicho. Kutopenda mafanikio ya wengine na kutojua unataka nini maishani, kutojitambua.
Kama feki katafute original maisha yaendelee.Aghhhhhf

Mkuu wewe huwa huangalii movies/series?Hii ndio sabab pekee ikanifanya niamn huu mchezo n scriptd. Ata ukiangalia style ya pal herman alivyotupa ile bag n scriptd pia. Tunajua n maigzo, ila atlist wafanye maigzo km ya kpnd cha nyuma, ilikuwa ngum kuwashtukia. Lakn sku hz n upuuuz tu..
Ata ile super men punch ukiiangalia kwa makin haimfikii kbsa opponent. Ila atakavyo jiangusha sasaa, yan fully undez tu
Mkuu wewe huwa huangalii movies/series?
Au nazo ni real?
Mbona movie na tamthilia pia ni maigizo ila huwa hamna shida? Kwa nini mnapata shida kwenye mieleka?!!Hii ndio sabab pekee ikanifanya niamn huu mchezo n scriptd. Ata ukiangalia style ya pal herman alivyotupa ile bag n scriptd pia. Tunajua n maigzo, ila atlist wafanye maigzo km ya kpnd cha nyuma, ilikuwa ngum kuwashtukia. Lakn sku hz n upuuuz tu..
Ata ile super men punch ukiiangalia kwa makin haimfikii kbsa opponent. Ila atakavyo jiangusha sasaa, yan fully undez tu
Mbona movie na tamthilia pia ni maigizo ila huwa hamna shida? Kwa nini mnapata shida kwenye mieleka?!!
Kwa sababu jamaa wa wrestlin wanamisuse miili yao, yani miili km ile kweli wanaishia kuifanya maigzo??
N bora waigize km wale wa exi videoziii dot commercial.. Maana maigzo haya yanatawaliwa na ukweli