NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Kile kiwanja/ ulingo na yale maeneo yamewekwa viziuri kwa ajili yao so hawawezi kuumia sana. Ila miili yao inapata maumivu na ndio maana wengi wao wanaharibikiwa na Pain Killers ( wanakuwa addictive sana kwa hayo madawa).
Ndio maana wanasema dont try this at home. Maana nyumbani kwako mazingira yake sio rafiki wa ule mchezo
Ndio maana wanasema dont try this at home. Maana nyumbani kwako mazingira yake sio rafiki wa ule mchezo