kabla apigane na Roman last year wiki moja kabla.. Roman alipigwa pingu kwa hiari lesnar akaingilia aisee alimtwanga hatarii.Hata mie nimefurahi sana kile kipigo alichompa nilikata tamaa
kabla apigane na Roman last year wiki moja kabla.. Roman alipigwa pingu kwa hiari lesnar akaingilia aisee alimtwanga hatarii.
Lesnar ndio ujanja wake, kichapo alichompa Seth nilijua jamaa atakaa nje muda bila kupigana ila ndio ivyo UNIVERSAL CHAMP. kwa sasa.
Mkuu achana kuegemea kwenye historia sana...vijana wanajifua umeona alichofanywa brrrrrrrrooooooook lesna ...acha kabisaToka mieleka imeanza ni pigo la f5 ndio lilivuruga rekodi ya undertaker.amepigana Mara 21 wrestermania hakuwahi kupigwa.ila Brock Lesnar alimkalisha kwa pigo la f5 na Sasa rasmi anatambulika kama 21-1.huyu Seth rollings ni mtoto mdogo Sana kwa Brock Lesnar Bora angeruka visarakasi vyake na kina Finn balor.brock anapigana mpaka ufc na ameshawahi kuchukua mkanda wa ufc heavyweight,Brock anacheza rugby,anacheza karate,huyu mnyama ni muuajiiiii.huyo Seth atakufa
Huwe unaweka akiba ya manenoKama kawaida buroooooook Lesnar anaenda kupiga yule mbuzi Seth kwa pigo matata na ambalo halijawahi kutokea Toka dunia iumbwe la f5.hili pigo ndio pigo mpaka sasa limeweka rekodi lilivunja rekodi ya mbabe mwite mbishi au mpambanaji huku kitaa tunamuita gaidi,mnyama a.k.a jini the undertaker aliyepigana wrestermania 21 bila kupigwa.huyu Seth mchumba Sana hala lolote wala ubishi kama wa cm punk, undertaker,John cena,samoe Joe,brawn strowman,Roman reigns, Goldberg na hata wa triple H ambao wote walipigwa na mnyama Brock Lesnar.mzee wa f5 Na suplex city Hana mpinzani kwa kweli akiwa pembeni na jamaa anayejitambulisha lediz endi jentromeniiiiii mai nem iz Paul heymaaaaaaaaan.
Mbona rahisi tu Rollings anapiga mtuWho will win ?View attachment 1179812
Wameshacheza tyrMbona rahisi tu Rollings anapiga mtu
MatokeoWameshacheza tyr
Legend, huwa mara nyingi anarudi kwenye main eventsUndertaker kwa nn haonekani sana kipindi hiki?
Yote kwa yote hakuna pigo kali toka mieleka ianze kama la f5 la Brock Lesnar the beast.hili pigo ni matata mpinzani akipigwa lazima achanganyikiwe..mapigo mengine makali ni end of days,rko,kokina ya samoe joe
RKO NDIO MWISHO WA HABARIYa seth rollins huijui?