Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hata mie nimefurahi sana kile kipigo alichompa nilikata tamaa
kabla apigane na Roman last year wiki moja kabla.. Roman alipigwa pingu kwa hiari lesnar akaingilia aisee alimtwanga hatarii.

Lesnar ndio ujanja wake, kichapo alichompa Seth nilijua jamaa atakaa nje muda bila kupigana ila ndio ivyo UNIVERSAL CHAMP. kwa sasa.
 
Kile kichapo sio kabisa namchukia sana Lesnar
kabla apigane na Roman last year wiki moja kabla.. Roman alipigwa pingu kwa hiari lesnar akaingilia aisee alimtwanga hatarii.

Lesnar ndio ujanja wake, kichapo alichompa Seth nilijua jamaa atakaa nje muda bila kupigana ila ndio ivyo UNIVERSAL CHAMP. kwa sasa.
 
Lesnar amenyimwa rematch
Screenshot_2019-08-12-21-19-05.jpeg
 
Toka mieleka imeanza ni pigo la f5 ndio lilivuruga rekodi ya undertaker.amepigana Mara 21 wrestermania hakuwahi kupigwa.ila Brock Lesnar alimkalisha kwa pigo la f5 na Sasa rasmi anatambulika kama 21-1.huyu Seth rollings ni mtoto mdogo Sana kwa Brock Lesnar Bora angeruka visarakasi vyake na kina Finn balor.brock anapigana mpaka ufc na ameshawahi kuchukua mkanda wa ufc heavyweight,Brock anacheza rugby,anacheza karate,huyu mnyama ni muuajiiiii.huyo Seth atakufa
Mkuu achana kuegemea kwenye historia sana...vijana wanajifua umeona alichofanywa brrrrrrrrooooooook lesna ...acha kabisa
 
Kama kawaida buroooooook Lesnar anaenda kupiga yule mbuzi Seth kwa pigo matata na ambalo halijawahi kutokea Toka dunia iumbwe la f5.hili pigo ndio pigo mpaka sasa limeweka rekodi lilivunja rekodi ya mbabe mwite mbishi au mpambanaji huku kitaa tunamuita gaidi,mnyama a.k.a jini the undertaker aliyepigana wrestermania 21 bila kupigwa.huyu Seth mchumba Sana hala lolote wala ubishi kama wa cm punk, undertaker,John cena,samoe Joe,brawn strowman,Roman reigns, Goldberg na hata wa triple H ambao wote walipigwa na mnyama Brock Lesnar.mzee wa f5 Na suplex city Hana mpinzani kwa kweli akiwa pembeni na jamaa anayejitambulisha lediz endi jentromeniiiiii mai nem iz Paul heymaaaaaaaaan.
Huwe unaweka akiba ya maneno
 
Yote kwa yote hakuna pigo kali toka mieleka ianze kama la f5 la Brock Lesnar the beast.hili pigo ni matata mpinzani akipigwa lazima achanganyikiwe..mapigo mengine makali ni end of days,rko,kokina ya samoe joe
 
Zis is the hausi zat ei jeiiii stailizi built..huyu mnyama ataniulia seth
 
Ya seth rollins huijui?

Back
Top Bottom