Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

RKO NDIO MWISHO WA HABARI

Rko wanachomoa mbona muulize john cena alisha pigwa sana hizo na kachomoa mbelebya makanda hata f5 zimechomolewa saaaana kuna ile style ya undertaker ya got na mikono mpaka unazimia na damu za puani unatoka au ile ya khalii ya kufinya kichwa daaah bala sana ile mpaka mysterio alizima aseee spear nayo ni balaa kiasi Roman Reings , Edge Colsberg ndio yao
 
Naomba kujua ROMAN REIN aliyekuwa anaumwa cancer ya damu (leukemia) mpaka akaachia mkanda WWE ushindaniwe bila yeye kuwepo yupo wapi kwa sasa. maana naona kuna roman mwingine anayefanana sana kwa kila kitu na yule wa zamani yupo on fire kwa sasa.Roman ninayemuulizia ni yule aliyekuwa na timu ya seth rolling na dean embrose
 
Haha hahahah ha
 
Mkuu umesababisha nicheke sana tena peke yangu, lol watu mna vipaji
 
Mbona wametoa supersport 128 hawa dstv nao wanatuchnganya.
 
Na hata katika Finish 10 bora za Wwe , ya Undertaker ndio inaongoza , kwa mujibu wa youtube
 
*GLOBAL WRESTLING*

Group La Wajumbe Wa Maeneo Mbalimbali Linalohusu Michezo Ya Mieleka Kitaifa Na Kimataifa

Lugha: Kiswahili na Kiingereza

[emoji810]Taarifa Za Mieleka
[emoji810]Mijadala Ya Mieleka
[emoji810]Takwimu Za Mieleka
[emoji810]Maendeleo Ya Mieleka

Taja Wrestlers Unaowapenda Duniani

*ADMIN MKUU:-*
_Co-Founder And CEO Of Datanet Group Companies & Global Groups Tanzania,_
_Issa Halili Issa:- +255782621022, datanetgrouptz@gmail.com_
_globalgroupstz@gmail.com_
*Dar es salaam, Tanzania*

*JIUNGE WATABE WA MIELEKA:-* https://chat.whatsapp.com/HwVwvFiZveCC4tHrRmBjH5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…