Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RKO NDIO MWISHO WA HABARI
Naomba kujua ROMAN REIN aliyekuwa anaumwa cancer ya damu (leukemia) mpaka akaachia mkanda WWE ushindaniwe bila yeye kuwepo yupo wapi kwa sasa. maana naona kuna roman mwingine anayefanana sana kwa kila kitu na yule wa zamani yupo on fire kwa sasa.Roman ninayemuulizia ni yule aliyekuwa na timu ya seth rolling na dean embrose
Hii comb ya Seth Rollin & brawn strowman itatisha
Naomba kujua ROMAN REIN aliyekuwa anaumwa cancer ya damu (leukemia) mpaka akaachia mkanda WWE ushindaniwe bila yeye kuwepo yupo wapi kwa sasa. maana naona kuna roman mwingine anayefanana sana kwa kila kitu na yule wa zamani yupo on fire kwa sasa.Roman ninayemuulizia ni yule aliyekuwa na timu ya seth rolling na dean embrose
Bado anaumiliki ,mkanda ambao huwa unakuwa na changamoto ni ule wa Seth rollinNauliza,Koffi Kingston bado tu anamiliki mkanda.
Badala umfafanulie ,ww unamchekaMkuu umesababisha nicheke sana tena peke yangu, lol watu mna vipaji
Na hata katika Finish 10 bora za Wwe , ya Undertaker ndio inaongoza , kwa mujibu wa youtubeRko wanachomoa mbona muulize john cena alisha pigwa sana hizo na kachomoa mbelebya makanda hata f5 zimechomolewa saaaana kuna ile style ya undertaker ya got na mikono mpaka unazimia na damu za puani unatoka au ile ya khalii ya kufinya kichwa daaah bala sana ile mpaka mysterio alizima aseee spear nayo ni balaa kiasi Roman Reings , Edge Colsberg ndio yao
Km strowman anautamani ule mkanda wa SethHii comb ya Seth Rollin & brawn strowman itatisha
Anao ndioNauliza,Koffi Kingston bado tu anamiliki mkanda.
KwannKm strowman anautamani ule mkanda wa Seth
Vile alivyokuwa anautazama huo mkanda inatia shaka.Kwann
Mbona wametoa supersport 128 hawa dstv nao wanatuchnganya.
Badala umfafanulie ,ww unamcheka