Crash of champion ni lini?
DSTV ni watu wa ajabu sana yani SS4 wanaitoa kwenye kifurushi cha BombaLeo mkuu
End of Days.....hii kwishaaaa ukipigwa[emoji28][emoji28][emoji28] View attachment 1209503
RKO sio tu wanachomoa kuna wana mieleka wana undoRko wanachomoa mbona muulize john cena alisha pigwa sana hizo na kachomoa mbelebya makanda hata f5 zimechomolewa saaaana kuna ile style ya undertaker ya got na mikono mpaka unazimia na damu za puani unatoka au ile ya khalii ya kufinya kichwa daaah bala sana ile mpaka mysterio alizima aseee spear nayo ni balaa kiasi Roman Reings , Edge Colsberg ndio yao
Aibu ya mwaka na ya dunia Kofi kapigwa chini ya sekunde Moja na mnyama Brock lesnar
Binafc sikutarajia Kama itakuwa kwa sekund tu mchezo kuisha uyu jamaa alieingia na 619 inawexekana aka mcharange resnaKumlinganisha Kofi na Lesnar ni sawa na kulinganisha kitambi na mimba
Kofi alipanik sana..yani moja tu kabebwa kapigwa finishing, mkanda umeondoka!Binafc sikutarajia Kama itakuwa kwa sekund tu mchezo kuisha uyu jamaa alieingia na 619 inawexekana aka mcharange resna
Naona na Tyson Fury kaingia kufanya maigizo, lazima wamemlipa mpunga mneneView attachment 1228186
Maigizo yanalipa, kazi ni kucheza na scripts tu. Huoni hata Cain Velasquez kajitoma ndan.Naona na Tyson Fury kaingia kufanya maigizo, lazima wamemlipa mpunga mneneView attachment 1228186
Sema pesa ndefu hiyo sio rahisi kuikataa, maana hata kwenye pambano lake la kwanza na Wilder hakuipata hiyoKaahirisha kwa mda kuzichapa na Wilder badala yake amepokea $12m na mwisho wa mwezi atakuwa Saudia
Hela mbaya hahaha
Sikuizi kwenye hili jukwaa hakuna konachojadiliwa lipo tu kama jinsi lilivyoo
Kuna link iliwekwa humu, wengi wapo active huko kwenye hilo group
Vipi link taipataje