Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Matokeo Ya Clash haya hapa. Seth amembonda Stown 2.Kofi amempa kipigo kitakatifu Randi Ortoni. 3. Roman Rein walimchangia wakashinda.
4.Beli katetea mkanda wake
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
20190917_084223.gif
 
Rko wanachomoa mbona muulize john cena alisha pigwa sana hizo na kachomoa mbelebya makanda hata f5 zimechomolewa saaaana kuna ile style ya undertaker ya got na mikono mpaka unazimia na damu za puani unatoka au ile ya khalii ya kufinya kichwa daaah bala sana ile mpaka mysterio alizima aseee spear nayo ni balaa kiasi Roman Reings , Edge Colsberg ndio yao
RKO sio tu wanachomoa kuna wana mieleka wana undo
Miaka mingi nyuma jeff hardy alishawahi kuchomoa halafu akampiga ya kwake.
Great kalee alimbinya kichwa rey mysterio wetu tulikumbwaga na majozi sana[emoji22]
style ya kumalizia ambayo hawachomoagi sana ni Ile ya undertaker/seth rolins pia /Shawn michael teke lake
 
Sikuizi kwenye hili jukwaa hakuna konachojadiliwa lipo tu kama jinsi lilivyoo
 
Back
Top Bottom