Vipi link taipataje
Mkuu hili ni jukwaa au ni uzi?Sikuizi kwenye hili jukwaa hakuna konachojadiliwa lipo tu kama jinsi lilivyoo
Baron anajua sana[emoji28][emoji28][emoji28] View attachment 1209503
Baron anajua sana
Upiganaji wake ni burudani tosha hata akidundwa poa tu.Anajua kwa nani? Kwa Roman Reigns, seth , Kelvin owns.. nakumbuka kuna game kama 3 zilipangwa na Romain kwa mfululizo na zote anachezea super men punch na spear za hatari [emoji1]
McMahon
BASATAHivi na mimi nikitaka niwe napigana wrestling natakiwa nikajiandikishe wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya wale wahenga nakoshwa sana na bill goldberg ila kwa time hii namuona brock lesnar anastahili ile pesa anayolipwa lkn pia the beast slayer atakufanya hata wewe unao uwezo wa kuiondoa CCM madarakanihii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
WWF kipindi hicho ndo ilikua kali,siku hizi wanafanya upuuzi tu.
Najua watoto WWF watakua hawaijui.
Naona Mvp na edge wamerud[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1328313