Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Vipi link taipataje
 
Anajua kwa nani? Kwa Roman Reigns, seth , Kelvin owns.. nakumbuka kuna game kama 3 zilipangwa na Romain kwa mfululizo na zote anachezea super men punch na spear za hatari [emoji1]
Upiganaji wake ni burudani tosha hata akidundwa poa tu.
 
hii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Kati ya wale wahenga nakoshwa sana na bill goldberg ila kwa time hii namuona brock lesnar anastahili ile pesa anayolipwa lkn pia the beast slayer atakufanya hata wewe unao uwezo wa kuiondoa CCM madarakani
 
[emoji30][emoji30][emoji30]
20200105_210747.gif
 
ila napenda sana wanavyoita zile finishing moves zao utasikia phenomenal forearm(aj style),end of days(king corbin),rko(rand orton),claymore kick(drew mc),f5 na suplex city(brock lesnar),sister abigail(bray wyatt),attitude adjustment(cena)etc
 
Back
Top Bottom