Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

mechi kubwa kati yao ilikua Wrestlemania 2017, reigns alikula suplex na F5 za kutosha, uwezekano wa reigns kushinda ni mdogo aisee
Amna lesner kaisha skuiz japo na reigns nae kaisha, but kidogo reigns alinipa tumaini alvobaki na stroumen kwenye chamber,,alijitahd mno
 
Inaitwa END OF DAYS hunyanyuki ukipigwa ile Corbin namkubali sana.
Kwa mademu namkubali sana yule Big NIA JAX...sijui why namuona sexy sana..natamani angekuwa demj wangu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
Madem walosexy ni Alexa bliss, sasha, Carmella,paige na niomi kwa mbali,,,,ila kiboko Carmella
 
Ila nduguzangu kama unataka kuchek match zilizochangamka,angalia wanaopiganiaga crucial weight,,,yan wako sharp mno na wana akil za haraka xana
 
Madem walosexy ni Alexa bliss, sasha, Carmella,paige na niomi kwa mbali,,,,ila kiboko Carmella
Kwa mimi Asuka ananiuaga..... Hasa akiingia na manjonjo yake yale.... Ananimaliza pale akivua kinyago chake alaf anakishusha kidogo kwenye meno.... Anakuwa km anaking'ata kwa mapoz huku akirembua basi mwenzio mie chaliiiii!!!!!!
 
hahahaha, ukame m.baya sana
 
Finn balor n kamachine aseee, ila sema huu mchezo huwa wanafifia nguvu na skills mapema
Na wanakufa wakiwa hawajavuka hata miaka 45
Wanatumia sana madawa na matokea hufa haraka kwa heart attack na pressure
 
Hulk hajajiingiza sana kwenye madawa nafikiri maana wapo wengine wanatumia nguvu za asili tu na wengine wanatumia steroids kwa sana
Hulk mhenga
Ile ni michezo tu..... Hata kama kuna madawa basi yatakuwa hayana madhara.... Wazungu wapo smart sana... Lazma kutakuwa na sheria za kuzuia madawa makali
 
Ile ni michezo tu..... Hata kama kuna madawa basi yatakuwa hayana madhara.... Wazungu wapo smart sana... Lazma kutakuwa na sheria za kuzuia madawa makali
Wazungu wako smart? Kwenye hela hakuna kitu hicho ngoja nichimbe deep
Ntarudi
 
Ile ni michezo tu..... Hata kama kuna madawa basi yatakuwa hayana madhara.... Wazungu wapo smart sana... Lazma kutakuwa na sheria za kuzuia madawa makali
Fukunyua kuhusu biashara ya mieleka ndio utajua hii biashara
Halafu tupingane kwa hoja
 
Still you hide something.... Plz come with more details at least you can convese us.
I am not hiding anything
The truth is all wrestlers are forced to use steroids
Ukiangalia kwa mfano "do wrestlers use drugs"
Utasoma mengi yaliyojibiwa
Mwanzo tulikuwa tunajibishana bila kujua undani lakini unaweza ukajisomea mwenyewe na kujua mengi
Hata mimi imebidi nipekue
Inaonekana wote wanatumia tena kwa lazima
Kuhusu Hulk Hogan nilikuwa sina uhakika ila nilijibu kwa mawazo yangu tu
Please read this clip about Hogan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…