Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
- #281
Finishing ya roman rahis sana kuikataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mzito kama Get these hands au Brock Lesnar akilegea kidogo tu hawezi kukataa finishing ya spears bali ataipokea kwa mikono miwili kama Strowman alivyoipokea kwa mikono miwili mechi ya jana!Finishing ya roman rahis sana kuikataa
Ntu kama fin ballor hawez kupigwa na finishing ileMtu mzito kama Get these hands au Brock Lesnar akilegea kidogo hawezi kukataa finishing ya spears bali ataipokea kwa mikono miwili kama Strowman alivyoipokea kwa mikono miwili!!
Fin ballor ni mtu hatari sana WWE,kama siyo strowman kuingilia alikuwa amtoe Roman Reign kwenye mechi ya jana kwani baada ya kumpiga roman reign ile finishing yake roman reign aliugulia maumivu kwa mda mrefu sana pale chini!!Ntu kama fin ballor hawez kupigwa na finishing ile
Yaah..... Roman reigns alikuwa amesha flat sema wakati anaenda kumshika ili refa ahesabu ndo li stromen likatokea ....pumbav sanaFin ballor ni mtu hatari sana WWE,kama siyo strowman alikuwa amtoe Roman Rein jana kwani baada ya kumpiga roman reign ile finishing yake roman reign aliugulia maumivu kwa mda mrefu sana pale chini!!
Fin ballor ana mwili mdogo ila atakuja kuwa tishio WWE!!Yaah..... Roman reigns alikuwa amesha flat sema wakati anaenda kumshika ili refa ahesabu ndo li stromen likatokea ....pumbav sana
Kajamaa kagum sana kale...... Unakumbuka kwenye royal ramble aliingia wa pili... Ila akakomaa paka wakabak wanne..... Ndio aliekaa mda mrefu zaid kuliko woteFin ballor ana mwili mdogo ila atakuja kuwa tishio WWE!!
ila mimi natabiri kuwa Roman Reign atashinda katika mechi yake na Brock Lesnar kwa sababu ni rahisi sana kukwepa finishing ya Brock Lesnar as long as cha kufanya ni kukwepa tu asikubebe na pia Brock Lesnar ni mzito kwa hiyo ni rahisi sana kupokea Spears kadhaa!!Kajamaa kagum sana kale...... Unakumbuka kwenye royal ramble aliingia wa pili... Ila akakomaa paka wakabak wanne..... Ndio aliekaa mda mrefu zaid kuliko wote
Mmm hii mi nahisi inaweza kuwa 50/50 yeyote anawza win maana Lesner naye ni roho ya paka nakumbuka ile mech yake na Broun alivopigwa na meza katolewa kwa ambulance kufika nje aka re gain na kurudi ulingoni na kuchukua mkanda so let wait nd see wrestlemania matchila mimi natabiri kuwa Roman Reign atashinda katika mechi yake na Brock Lesnar kwa sababu ni rahisi sana kukwepa finishing ya Brock Lesnar as long as cha kufanya ni kukwepa tu asikubebe na pia Brock Lesnar ni mzito kwa hiyo ni rahisi sana kupokea Spears kadhaa!!
Mpambano huu ni lini wadau.hapo natabiri roman atapigwa na Lesnarila mimi natabiri kuwa Roman Reign atashinda katika mechi yake na Brock Lesnar kwa sababu ni rahisi sana kukwepa finishing ya Brock Lesnar as long as cha kufanya ni kukwepa tu asikubebe na pia Brock Lesnar ni mzito kwa hiyo ni rahisi sana kupokea Spears kadhaa!!
Mpambano utafanyika 8 April 2018Mpambano huu ni lini wadau.hapo natabiri roman atapigwa na Lesnar
[emoji106]Mpambano huu ni lini wadau.hapo natabiri roman atapigwa na Lesnar
nilimpa saluti yake tangu NXT alimchakaza Kevin Owens mara 2 (match na rematch) kunyakua mkanda.Kajamaa kagum sana kale...... Unakumbuka kwenye royal ramble aliingia wa pili... Ila akakomaa paka wakabak wanne..... Ndio aliekaa mda mrefu zaid kuliko wote
mechi kubwa kati yao ilikua Wrestlemania 2017, reigns alikula suplex na F5 za kutosha, uwezekano wa reigns kushinda ni mdogo aiseeBrock Lesnar atapigwa na Roman Reign and no one will believe this!!....Gets these hands amekula spear mbili zikammaliza!!
Mmenipinga sana but keep my words!!....Mimi nasema kwa kujiamini kabisa kuwa reign atashinda!!mechi kubwa kati yao ilikua Wrestlemania 2017, reigns alikula suplex na F5 za kutosha, uwezekano wa reigns kushinda ni mdogo aisee
Shabiki wa roman reign... Haha hah hah [emoji12] [emoji12] Ila mshaurini abadili finishing.... Ana mwili mkubwa lakin finishing ya kitotoMmenipinga sana but keep my words!!....Mimi nasema kwa kujiamini kabisa kuwa reign atashinda!!
Mimi siyo shabiki wa reign ila nimefanya analysis na kuona kuwa atashinda. Mimi nawapenda akina fin ballor,seth rollin,the viper na mzee wa vurugu-baron corbin!!Shabiki wa roman reign... Haha hah hah [emoji12] [emoji12] Ila mshaurini abadili finishing.... Ana mwili mkubwa lakin finishing ya kitoto