Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wwe ilikuwa zaman trump na vinc macmahon uku maywether na big show ilikuwa hata mabifu ndy usiseme baadhi ya mabifu ninayo yakumbuka
1.The rock vs stone cold
2.Mack henrI vs batista
3.Randy orton vs undertaker
4.Boker t vs boogeyman(mla minyoo)
Rey mysterio vs chavo guerolo
5 .Ecw vs raw
6.Raw vs smack down
7.Jbl vs eddy guerelo Hili ndy pambano la mwisho la eddy
8.Batista vs undertakel
9.Big show vs big daddy v mpaka ulingo ukasambalatika
10.Trish vs naomi
Triple H vs Cena nayo ilikuwaga kali sn
 
Hivi kuna mtu anaangaliagia Impact wresting.... Hebu nipen hints zake
 
Nashukuru Mungu Mitz wameangukia mikononi mwa braun strowman katika Gauntle match!!.....Mungu asifiwe sana!!
 
Ya kweli haya?[emoji116][emoji32][emoji32][emoji32]
24ce46ae48b64557248f12f6fb2a69f1.jpg
 
Hivi kuna mtu anaangaliagia Impact wresting.... Hebu nipen hints zake
hua naangalia mara mokomoko kwa kua bob lashley na johny morrison wapo kule na ni watu nawakubali kwenye tasnia ya wrestling, wengi wametoka wamekuja WWE, najua nao waatarudi wwe tu

kiukweli impact sikuizi imepoteza ladha kama zamani, storyline mbovu kutokana na uongozi mbovu, stars kama samoah,aj styles, bobby roode, wakali wote wameondoka
 
Nilikuwa naangalia Impact..... Wakawa wanapigana wadada.... Nikasema ngoja nitafute ambae naweza kumpambanisha na Asuka.... Kwa kweli sikuona
 
Hakuna kitu ambacho huwa kinanifurahisha kama the Miz kuwa mtu wa kupangwa katika nafasi hatari,kwenye mechi ya Gauntle ya juzi amekumbana uso kwa uso na Monster na kuchezea kichapo cha mbwa mwizi na kwenye mechi inayokuja ya elimination chamber anaingia wa kwanza!....Safi sana!!
 
Acheni kudanganyana na maigizo haya. Hebu ingieni google msearch "reality of wrestling" ndio mrudi hapa mfute hii thread.
 
Hivi kwann Asuka asipangiwe apigane na wanaume..... Maana Nia Jax ndo anaogopeka lakin kila siku anapokea kichapo toka kwa asuka...... Yaan kapigana mapambano 277 na kashinda yote...... Inabidi apangiwe na kina alias, roman reigns .....maana wanawake wenzake anawaonea
 
278 mkuu, ukijumuisha na hii ya elimination chamber 2018, anaenda kunyakua raw divas champ kutoka kwa a.bliss at WM
 
Back
Top Bottom