Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau mbona mbabe Braun Strowman simuoni siku hizi kulikoni
 
Amna kitu,mbabe wa roman reins ni brokkkkkkk lesna sio stroman minguvu mingi akili kisoda
Ila hao wote kiboko yao ni Drew McTyre, ana ule mteke wake wa kudive hivi akikuotea hunyanyuki. Jamaa huwa hapigwi, nakumbuka kuna pambano moja tu ndiyo niliona Seth Rollins alimuotea na ile style yake ya kukandamiza kichwa chini tena hapo alivizia wakati ameshachoshwa sana na Bob Lashley
 
Proffessional wrestling ni mchezo ambao upo scripted . Mshindi hujulikana na management kabla ya pambano halijaanza. Wwe,Tna,Aew,Ovw n.k zote huwa zinapanga nani awe heel na nani awe face, nani ashinde na nani apoteze, nani awe promoted kwenda kwenye title matches na nani awe anapigwa daily. Kikubwa wanachoangalia hao wrestlers ni mikataba yao na jinsi wanavyoingiza pesa. Hawajali sana kuhusu mikanda though kuwa face wa company kunaweza kukupa shavu kwa makampuni mbalimbali kukutumia kutangaza bidhas zao kwa watu
 
Golden era ya mieleka ilikuwa kwenye miaka ya 90 mpaka 2004 hv kipindi cha attitude era!! Kipindi WWF imeshika hatamu na kwenda kuwa WWE...PG era imekuja kuua kila kitu though zote ni scripted ila attitude ilikuwa na actions zaidi..sasa hivi kuna comedians tu
Hii PG era kwa namn Fulani imepungua utamu
e
 
Kipindi hicho ulikuwa mdogo ndo maana ilikuwa inavutia, saiv umekua basi ujuaji mwingiii! Ila mieleka ni ileile hakuna tofauti

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app

Sikubaliani na wewe, bado inavutia, kuna Roman Reigns, McIntyre, Brock Leisnar, Miz, Riddle, Sethi Freaking Rolling,The Vicking Riders, New day, Mysterios, USOs, Finn Ballor, Angelo, Omos, Randy, Theory, Nakamura, Ricochet,Corbin
Bado unasema haichangamki? You are joking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…