wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Wameshagundua Yale Ni maigizo.Mbona kimya sana wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshagundua Yale Ni maigizo.Mbona kimya sana wadau
Lakini hiyo haizuii kufatilia coz hata movies ni maigizo ila zinafatiliwa...labda tu kutakua na sababu zingine sio hiyoWameshagundua Yale Ni maigizo.
😄😄 Sawa mkuu.Lakini hiyo haizuii kufatilia coz hata movies ni maigizo ila zinafatiliwa...labda tu kutakua na sababu zingine sio hiyo
M babe wa Roman reinsWadau mbona mbabe Braun Strowman simuoni siku hizi kulikoni
Amna kitu,mbabe wa roman reins ni brokkkkkkk lesna sio stroman minguvu mingi akili kisoda
Ila hao wote kiboko yao ni Drew McTyre, ana ule mteke wake wa kudive hivi akikuotea hunyanyuki. Jamaa huwa hapigwi, nakumbuka kuna pambano moja tu ndiyo niliona Seth Rollins alimuotea na ile style yake ya kukandamiza kichwa chini tena hapo alivizia wakati ameshachoshwa sana na Bob LashleyAmna kitu,mbabe wa roman reins ni brokkkkkkk lesna sio stroman minguvu mingi akili kisoda
Braun strowmen amekua released na WWE mwaka Jana mkuuWadau mbona mbabe Braun Strowman simuoni siku hizi kulikoni
BROCK LESNAR kile kiumbe ni hatari asee roman anaelewa showAmna kitu,mbabe wa roman reins ni brokkkkkkk lesna sio stroman minguvu mingi akili kisoda
Tatizo bei ya mafutaMbona kimya sana wadau
Mbona summerslam tayari mkuu kama wiki 3 hivi zilizopitaTunasubiria SummerSlam pambano kati Romaan reins na Brooock lesner. Nasubiria Kwa hamu
Hii PG era kwa namn Fulani imepungua utamuMieleka ilikua ile ya 2006 hadi 2009, hii ya siku hizi haivutii hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi cha akina jon cena..randy orton..big show..n.kMieleka ilikua ile ya 2006 hadi 2009, hii ya siku hizi haivutii hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
eHii PG era kwa namn Fulani imepungua utamu
Kipindi hicho ulikuwa mdogo ndo maana ilikuwa inavutia, saiv umekua basi ujuaji mwingiii! Ila mieleka ni ileile hakuna tofautiMieleka ilikua ile ya 2006 hadi 2009, hii ya siku hizi haivutii hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hicho ulikuwa mdogo ndo maana ilikuwa inavutia, saiv umekua basi ujuaji mwingiii! Ila mieleka ni ileile hakuna tofauti
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app