Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Asuka alizidiwa mno na nia jax na yule women in the benk(nisaidie jina),kwa wasichana namkubali sana Naomi.ila kwa wanaume nakamura pia anabebwa sana na uongozi.mawazo tu ila mieleka ndio roho yangu
 
Mkuu baba mtakatifu binafsi naona asuka wa kawaida mno
 
Asuka is nothing,amejikita kwenye kuvunja watu mikono!!....Alichomfanyia baunsa wangu-Nia jax Mungu anamuona!....Mwarubaini wake upo,Alexa yupo tayari kuvunjwa mikono ila atakufa nae!
Alexa hawezi kumpiga asuka hata siku moja, kwanza ashapigwq kwenye match ya kwanza. Anachofanya sa hz ni kumu-undermine kwa kigezo eti English yake sio nzuri. Anasahau kuwa WWE hawafanyi audition ya English fluence
 
Hivi kwann kila mtu asiwe na vijamaa vyake au kuna sheria inakataza... Mbona mahal ana vyake, miz anavyake.. Je kila mtu akitaka anakubaliwa
Nadhani anakubaliwa! Wengi wanaona ninkujiaibisha tu maana utaonekana uko incompetent!
 
Hahaah...Unachekesha mzee, itakuwa humjui Alexis na janja janja zake.

She is nothing Compared to Asuka.

Kwanza umewahi kuangalia mpambano wao?
Mkuu wewe ndo unachekesha! Huo mpambano wao alexa alipigwa. Usimfananishe Asuka na akina sasha banks!

Baada ya kupigwa alichokifanya alexa ni kumchonganisha asuka na Nia Jax. Alivokuja nia jax akapigwa akaumia vibaya sana mguu. Juzi karudi tena kapigwa mara ya pili.

Huyu alexa ashukuru kuwa hatakutana na asuka wrestle mania, vinginevyo angedhalilika mara ya pili.

Halafu huyu huyu alexa kamleta rafiki yake Mikie James naye kapokea kichapo.
 
Mkuu, Mimi na wewe wote ni Mashabiki wa Asuka. Nadhani umniQuote vibaya, hahahah

Pamoja sana.
 
Unajua mnatakiwa mfaham kitu kmoja, upiganaj ule c maigizo, but ile ni biashara xo lazma waandae stories before pambano( I mean bifu au bongo tunasema kiki).
Hii inafanywa ili kuvuta ladha ya shabik kutazama pambano,,, but the fighting is real
Kweli ndio maana wengine wanapigwa hadi wanatoka damu, wanazimia, wanalia
 
Sidhani km ni fake kwsbb watu wanavunjika hadi shingo
 
By the way hebu tujadili tukio alilofanya Shane McMahon kwenye Fastlane, Je alifanya halali?

Kelvin Owens alipania kumpiga teke samy zayne ambaye alikwepa na hilo teke kumpata Shane McMahon. Jamaa alikasikrika sana ikapelekea alamvuta nje Kelvin baada ya kufanya cover kwa Ziegler, pi Samy alipofanya cover kwa kelvin jamaa akamvuta referee nje. Halafu AJ akaingia akampiga kelvin na kushinda mkanda.

Hili tukio kweli McMahon alipaswa kufanya hivi?

Jumanne Samy na Kelvin walimpiga McMahon kwenye locker room hadi akalia kama mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…