Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Monday night raw ya wiki hii ilikua tamu sana hasa mnyama mwenyewe the beast alivyotoa kichapo cha kufa MTU kwa dogo roman reigns.Brock lesnar namkubali sana hanaga cha kuremba na haitaji akoforce umshabikie ila kichapo anachotoa ww mwenyewe utamkubali.roman alichezea viti kama 70,suplex city kama 50 na pigo ninalolipenda la F5.wakati roman anapigwa F5 kabla hajatua chini niliamka kwa shange nikisema pumbavu(panya unachezea sharubu za paka)namshukuru sana Brock kutoa kichapo kile.najua mashabiki wake watasema sijui alifungwa pingu ila ujumbe umefika na roman aliondoka kwa machela.nasubiri tambo na mkwara mzito atakaoupiga Paul lazima homa impande roman hospitali
Watasema jamaa alikuwa kafungwa pingu
 
Baada ya Wrestlemania kumalizika uje tena uandke kitachomkuta Lesnar
 
Brock ashampa vitasa roman reigns wrestlemania,ashampiga raw,alishampiga akiwa na Braun strauman.Brock ni mashine nyingine.muulize Randy na big show kidogo wafe uwanjani
 
Supasport10 marudio ya wwe sahv Brock akitoa kichapo kwa roman
 
Yale akili hayana.. Bryan kayachana live.... Kwamba McMahon alikuwa anawatengenezea history ambayo badae watakuja kujivunia... Lakin kwavile akili hayana ndo yakafanya yaliyoyafanya... Pumbav zao
Huyu Bryan namkubali sana, na hivi amerudi kilingeni sitakosa kumuangalia.
 
Huyo reigns apigwe tu... Hata angekuwa kafungwa macho, maana ana sifa sana
 
Back
Top Bottom