Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kwann John Cena anang'ang'ana na undertaker??? Kwan anatafuta nn??? Kwan hakuna mwingine wa kupigana nae Mpaka undertaker!!! Anaboa na Yeye sasa, Mtu kama hutaki kupigana Achana nae tafuta mwingine.
 
Yaan alinikera kweli bora kenny alivyombonda tu hataki ujinga..halafu me cena ciku hizi wala
 
Roman reign hajatumia akili kabisa,mpaka sasa hivi sidhani kama hapo alipo anaweza kuamka kitandani kwa kipigo kile cha pingu na cha juzi!!...yeye alitakiwa atulie ili akusanya nguvu za tarehe 8!!....Sasa hivi hana nguvu tena!!
 
Si hatumii akili... Hana akili
 
Nimecheka Sana leo...... Sasa yule dada kaja na majigambo yote yale.... Mi Nikajua leo ASUKA kapata kigongo.... Heeh mara teke moja tu Tayari chali..... Daah huyu ASUKA sijui apigane na nani.
 
Huyu Ronda rouse mbona ananipa wasiwasi.... Kama absolution wamechezea kichapo vile... Alaf anavunja mikono paka mtu analia kama mtoto... Hivi akikutana na ASUKA si ASUKA atapigwa Sasa kama mambo yenyewe ndo vile
 
Mashabiki wa roman reigns mbona kimya?mmeona kipigo cha kufa MTU alichopewa na Brock lesnar?last week mlisema alifungwa pingu,safari hakua na pingu na kapigwa kuliko Mara ya kwanza.roman reigns hawezi mpiga the beast Brock lesnar size yake ni kina aj styles na nakamura.nilifurahi sana Brock lesnar alipompiga pigo pendwa la f5 tena kwenye gazi za kupandia kuingia ulingoni.asante mno mnyama Brock hapa nafanya mawasiliano na uongozi wa wwe unipatie namba za Brock na Paul heyman na huu umaskini wangu ntajichanga ata bukutano niwatumie Mpesa kusema asante kwa kipigo alichopigwa Roman hasa f5 kwenye ngazi,suplex na viti vya kutosha
 
Huyu Ronda rouse mbona ananipa wasiwasi.... Kama absolution wamechezea kichapo vile... Alaf anavunja mikono paka mtu analia kama mtoto... Hivi akikutana na ASUKA si ASUKA atapigwa Sasa kama mambo yenyewe ndo vile
Asuka atakuwa kibonde soon!...believe me mkuu!!
 
Back
Top Bottom