Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronda rosey amesomea kuua,Asuka ajipange!![emoji53][emoji53][emoji53]Ronda rosey ananipa wasiwas mim shabiki wa Asuka
Hata the beast alikuwa anapigwa hvyhvy na braun strow but kweny match rasmi the beast akashinda.Mashabiki wa roman reigns mbona kimya?mmeona kipigo cha kufa MTU alichopewa na Brock lesnar?last week mlisema alifungwa pingu,safari hakua na pingu na kapigwa kuliko Mara ya kwanza.roman reigns hawezi mpiga the beast Brock lesnar size yake ni kina aj styles na nakamura.nilifurahi sana Brock lesnar alipompiga pigo pendwa la f5 tena kwenye gazi za kupandia kuingia ulingoni.asante mno mnyama Brock hapa nafanya mawasiliano na uongozi wa wwe unipatie namba za Brock na Paul heyman na huu umaskini wangu ntajichanga ata bukutano niwatumie Mpesa kusema asante kwa kipigo alichopigwa Roman hasa f5 kwenye ngazi,suplex na viti vya kutosha
Naunga mkono hojaMashabiki wa roman reigns mbona kimya?mmeona kipigo cha kufa MTU alichopewa na Brock lesnar?last week mlisema alifungwa pingu,safari hakua na pingu na kapigwa kuliko Mara ya kwanza.roman reigns hawezi mpiga the beast Brock lesnar size yake ni kina aj styles na nakamura.nilifurahi sana Brock lesnar alipompiga pigo pendwa la f5 tena kwenye gazi za kupandia kuingia ulingoni.asante mno mnyama Brock hapa nafanya mawasiliano na uongozi wa wwe unipatie namba za Brock na Paul heyman na huu umaskini wangu ntajichanga ata bukutano niwatumie Mpesa kusema asante kwa kipigo alichopigwa Roman hasa f5 kwenye ngazi,suplex na viti vya kutosha
Si Wewe tu mkuu.... Hata mm pia wasiwasi kibao.... Maskini ASUKA wangu ...ila Naamin hata yy kaona kwaiyo anajipanga.. [emoji12] [emoji12]Ronda rosey ananipa wasiwas mim shabiki wa Asuka
Paul hyeman uyu mzee ana maneno na mawengeMashabiki wa roman reigns mbona kimya?mmeona kipigo cha kufa MTU alichopewa na Brock lesnar?last week mlisema alifungwa pingu,safari hakua na pingu na kapigwa kuliko Mara ya kwanza.roman reigns hawezi mpiga the beast Brock lesnar size yake ni kina aj styles na nakamura.nilifurahi sana Brock lesnar alipompiga pigo pendwa la f5 tena kwenye gazi za kupandia kuingia ulingoni.asante mno mnyama Brock hapa nafanya mawasiliano na uongozi wa wwe unipatie namba za Brock na Paul heyman na huu umaskini wangu ntajichanga ata bukutano niwatumie Mpesa kusema asante kwa kipigo alichopigwa Roman hasa f5 kwenye ngazi,suplex na viti vya kutosha
Big dog atashinda. Sababu Lesnar anarudi UFC this year ndo maana wakaitengeneza hii mechi. Tena roman kipenzi cha Bosi mkuu wa WWE so Roman atashinda 98% labda kama lesnar bado hajasign mkataba wa kuanza UFC maana ndoo anapopaenda 100%Sasa mkuu ina maana hakuna wa kumnyang'anya Lesnar ule mkanda??....kwa sababu hata Strowman hana uwezo wa kuhimili suplex mbili!!
Undertaker ni mzee now..ndo maana unaona hapigani mwaka mzima anakuja mpk wreslemania kupigana na cenaMwenyewe nlishangaa undertaker aliflatishwa
Mapigano ni ya ukweli ambao wameshayafanyia mazoezi kabla. But matokeo ni ya KupangwaZile finishing zilivyo za kikatili kama vile Sister Abigail au ile ya Finn Balor au ile ya Baron Corbin au ile ya the viper mtu anawezaje kusema kuwa yale ni maigizo??!
Hivi mkuu huko UFC suplex zinaruhusiwa?[emoji53][emoji53]Big dog atashinda. Sababu Lesnar anarudi UFC this year ndo maana wakaitengeneza hii mechi. Tena roman kipenzi cha Bosi mkuu wa WWE so Roman atashinda 98% labda kama lesnar bado hajasign mkataba wa kuanza UFC maana ndoo anapopaenda 100%
Kule wanapasuana vibaya jaribu kuangalia but **** vidume kule huyo lesnar mwenyewe anakaa!! Ila hairuhusiwi kule sijawahi ona mtu akipiga hiyo kitu. Kule ni ngumi mateke vipepsi etc. Alienda CM Punk alipigwa mpk akili ikamkaa sawa.Hivi mkuu huko UFC suplex zinaruhusiwa?[emoji53][emoji53]
08April hiyo...... Si ya kukosaWreslemani
Asuka vs the qeen
Bonge wangu vs alexa
Roman vs lesnar
Cena vs undertaker
The bar vs stroman
Ronda/angel vs bibi na bwana
Daniel/mapesa vs owen/shogaake
Rusev vs orton vs maharaja vs glorius
Balor vs seth vs mitz
Aj vs nakamura
THE WINNER ARE
ASUKA......ataanzishiwa ugomvi na Rando rawzey
NAKAMURA.....
THE UNDERTAKER ....sina uhakika sana maana jamaa ni mzee now kuliko cena sema sababu ni mechi za kupangwa ...
ANGEL NA ROWSEY
FIN BALOR
ROMAN REIGNS
ALEXA ingawa napenda Bonge wangu ashinde sema yule shosti anamsaidia mwenzake kushinda
THE BAR....
MARAHAJA...
OWEN NA SAMI ZAYN..
Amesema mpaka apigwe na Roman ndo atasepa WWEBrock na Paul heyman leo wameaga mashabiki na pambano la mwisho ni hilo na roman.Brock anarudi ufc.hawez kwenda na mkanda wao wa wwe.hivyo lazima atapigwa.pia leo Monday night raw kama kawaida roman kachezea F5 asante brock
Na kupigwa na Roman ni impossible... Hivyo basi kuondoka WWE ni ndotoAmesema mpaka apigwe na Roman ndo atasepa WWE
Kumbuka The Big Dog ndiye aliyemstaafisha The Undertaker kwenye WM iliyopita....... Kwa hiyo kwenye WM hii namuona Roman akimpeleka Lesnar UFC bila kupendaNa kupigwa na Roman ni impossible... Hivyo basi kuondoka WWE ni ndoto